Header Ads


Breaking News
recent

JAMANI NAOMBENI RADHI KWA PICHA HIZI ZA WEZI WALIOCHEZEA KICHAPO BAADA YA KUNASWA WAKIFANYA JARIBIO LA WIZI JIJINI DAR!



Pichani ni mmoja ya wezi akionesha kitu flani eneo la tukio leo sinza kume kucha. 


Wezi wakiwa chini wakila kichapo cha kimya kimya toka kwa wananchi. 


Mwizi akijitetea kuwa ni mpita njia jamani mimi ni mpita njia ‘’’’ tulia wewe tumewachoka alisikika sauti ya kike . 


Dada kwa na huruma 



Jamaa waliwapa mapumziko kidogo wezi hao. 


Polisi wakiwachukua wezi hao baada ya kula kichapo na mateso kwa masaa mawili.






Wananchi wakipeana umbea kwa walio kuwepo na wasio kuwepo kila mtu anasema lake 




Kikopo ambacho killichafuka na kujaa damu ya mmoja kati ya wezi hao 


Eneo ambalo walichapika wezi ha oleo


Tukio hili limetokea leo majira ya saa kumi na mmoja asubui maeneo ya sinza kumekucha maarufu kwa jina la DR cool production. Wezi hao walitaka kubomoa duka bila mafanikio ndibo walipo kamamatwa na kujitaidi kukimbia uku wakijikuta wamesha kamatwa kutikana wingi wa watu walio kuwa wakiwai makazini mda huo kutokana kuwai usafiri , hadi tunatoka eneo la tukio wezi hao walipelekwa kituo cha polosi huku wakiwa wazima japo wamechapika mbaya.

No comments:

Lazaro Masika. Powered by Blogger.