Header Ads


Breaking News
recent

NILAMBE _APA SEHEMU YA 36-40


#NILAMBE_APA #36
0756944855
Ilipoishia.
niliona magari kadhaa ya polisi wamekuja na kumuweka domy chini ya ulinzi na nilipoangalia niliona kitu cha ajabu ata sikuamini..
Endelea..
Nilimwona yule dem ambae Domy alilala nae akiwa miongoni mwa wale polisi sasa ilikuwa mbali hivyo sikuweza kujua na yeye alikuwa chini ya ulinzi au la, pia Sikuweza kuona kilichokuwa kinaendelea.Nilitama­ni niwe na darubini nivute lile tukio kwa karibu ila ilikuwa nadharia tu na haikuwezekana.Niliwa­za huenda Domy amekamatwa kutokana na kosa tulilofanya la kumtorosha Rita ila kama ni hivyo yule kahaba kwanini aongozane na polisi au nae yupo chini ya ulinzi?niliwaza ila sikupata jibu. Nilifika salama ukerewe,kwa kuwa nilikuwa na mgonjwa nikakodi bajaji iliyotupeleka mpaka kwa yule babu.Nilifika nikasaidiana na dereva Bajaji kumshusha Rita na kumlaza chini mwenye majani pale nje na yule dereva alipoondoka,nilisoge­lea mlango ule wa bati na kuanza kuugonga.Niligonga uku namwita babu bila mafanikio mwisho nikakata tamaa kwani hakukuwa na dalili ya kuwepo mtu mle ndani.Nilienda pale nilipomlaza Rita na kumfunika vizuri uku machozi yananitoka nilihisi huenda babu amesafiri na kama ni ivyo Rita lazima atakufa kwa njaa kwani hakuwa na uwezo wa kula ata hosptali alikuwa analishwa kwa mpira.Nilikaa uku nawaza mambo mengi mpaka usingizi ukanipitia.Nilikuja kushtuka majira ya saa nane baada ya kusikia mtu ananiamsha na nilipoamka nilikutana uso kwa uso na babu akiwa ameshika kitu kama mkia pamoja na frampeni kama ya kukaangia maandazi.Alitabasam kidogo akaniambia
"karibuni"
"babu ulikuwa wapi nimekuja saa nyingi sana"
"nilikuwa kwenye kikao mjukuu wangu karibuni ndani au mtalala apo apo"
"huyu hawezi kuamka ndio yule mgonjwa"
Babu aliniangalia kwa sekunde kadhaa akamchapa Rita na ule mkia na kuniambia nimuamshe.Nilipomwit­a Rita akaamka mda huo huo na kusema
"sparner nipo wapi apa,mimi nahisi njaa naomba chakula na maji"
Nilifurah sana niliposikia sauti ya Rita kwa mara nyingine ingawa bado haikuwa imerejea vizuri.Yule babu aliingia ndani na kuniacha pale nje na Rita aliekuwa analalamika kutaka chakula na maji,haraka niliingia ndani na kumuomba babu maji ambapo alinipa nikamletea na baada ya kunywa aliendelea kuniuliza pale ni wapi nikamwambia asubiri papambazuke nitamueleza kila kitu.Tulikaa pale nje uku baridi inatafuna mifupa yetu na ilivyozidi nilimpa Rita sweta langu na kumwambia anisubiri nikamuombe babu shuka ambapo alinikubalia kwa kutikisa kichwa.Niliinuka na kuingia kwenye ile nyumba bila kubisha hodi ila kabla sijaongea chochote na babu kumuambia kilichofanya nikaingia mle ndani,nilimuona amesimama kuangalia ukutani uku amefunga kikoi anaita jina la Mery.Nilijibanza kwenye nguzo iliyokuwemo mle ndani nione kitakachotokea ambapo babu alikuwa anaendelea kuita jina la mery na baada ya muda akatokea msichana mmoja akiwa amevaa gauni nyepesi ya kulalia akiwa anafikicha macho yake ni kama ametoka usingizini mda huo huo,Babu alitupa kikoi akabaki mtupu na taratibu binti yule alisogea akapiga magoti na kuanza kunyonya uume wa babu taratibu,Babu alianza kutoa kelele za raha uku anajishika na ukuta asianguke nadhani alihisi kuishiwa nguvu kutokana na raha anayoipata.Baada ya muda yule binti alilala kwenye ngozi ambayo mzee yule hutumia kama kitanda,babu akapandisha ile gauni fupi ya binti yule kisha akaanza kufanya nae mapenzi macho yangu yakatua kwenye mapaja na utamu wa binti yule mweupe aliejaa jaa vizuri na jinsi babu anavyofaidi na uume ambao haukuwa umesimama inavyotakiwa labda kutoka na uzee.dakika tano nyingi babu alimaliza.Alijifunga­ kikoi chake kisha akaanza kuja nilipokuwa nimejibanza.
"nimekuona usiogope huyu ni binti wa jirani wangu huwa namwita usiku namfanya bibi yako alafu namrudisha"
"inawezekanaje babu mbona ametokea kama majini ninaowaonaga kwenye tv"
"ahah,,aha,nikitaka binti yoyoye ninaemfaham namwita tu jina anakuja namfanya nnavyotaka na kumrudisha bila yeye kujijua"
nilimsikiliza yule babu kwa makini moyoni nikasema kweli dunia ina mambo.Niliogopa nikatoka nje uku nahema sana na jasho la uoga linanitoka.Rita aliniuliza tatizo ni nini ila sikumwambia kwani babu aliniambia nisimwambie mtu nilichokiona.
Asubuhi ilifika ambapo tulimuaga nimshukuru babu pia nikampa pesa kidogo akatupa baraka kuwa tufike salama.
Tulivyofika ukerewe mjini nilitafuta hotel Rita akaoga akanywa supu na chakula pia nikamnunulia nguo zingine na safari ya kurudi mjini ikaanza uku namuwaza yule mzee aliekuwa anafanya mapenzi na binti wa watu kimazingara niliogopa sana nikawaza kuwa ni muhimu sana kusali kabla ya kulala.Pia nilimuwaza Domy sikujua kwa nini alikamatwa na polisi.Mara
Rita alinisistiza nimueleze kuwa amefikaje ukerewe wakati jana yake alilala kwangu kwa mawazo yake aliona ni jana wakati miezi miwili imepita akiwa hajitambui.
"jana nimekuja kwako nikiwa nimelewa leo najikuta uku tatizo nini"
nilimgeukia ila kabla sijamjibu sim yangu iliita ambapo nilipoangalia aliekuwa anapiga nilishtuka sana..... Tukutane ktk sehemu ya #37 ya utam huu.... Sitaki kuongea mengi ila utam ndo huoooooo.......

#NILAMBE_APA #37
0756944855
ilipoishia..
"jana nimekuja kwako nikiwa nimelewa leo najikuta uku tatizo nini"
nilimgeukia ila kabla sijamjibu sim yangu iliita ambapo nilipoangalia aliekuwa anapiga nilishtuka sana.
Endelea..
Alikuwa Rahel nilishangaa kwa sababu imepita siku kadhaa bila hajanipigia,Nilisita­ kidogo kupokea ila baadae nikapokea akaniuliza..
"upo wapi umebadilika sana wewe mwanaume najua tu upo na videm vyako saa hizi"
"hapana kuna kazi naifanya nilikuwa nimesafiri"
"okey"
alinijibu na kukata sim kwa haraka haraka niligundua kuwa ana hasira kwani haikuwa kawaida yake kuongea na kukata sim bila akuniaga nikajua tu ni ela niliyochukua kwenye pochi yake bila kumwambia ndio imemkasirisha.Nilimu­hadithia Rita yote yaliyotokea bila kumficha mpaka kumtorosha pale hospital.Baada ya kumaliza kumuhadithia machozi yalimdondoka mimi nikamuuliza
"kwa nini mlitaka kumuua Herieth mpaka na yeye akakufanyia hivyo unajua mambo haya ya kichawi mimi huwa sipendi"
"ni wenzangu ndio walinishauri baada ya kuona wewe hunijali nikajua chanzo atakuwa ni Herieth,itabidi nikakumuombe msamaha asiende kwa babu yake tena"
"ila wewe hunipendi kama ungekuwa unanipenda usingekubali kumleta Anita afanye mapenzi na mimi wakati wewe unashughudia"
"yule ni dada na sisi ni mapacha hawezi akataka kitu chochote nikamkatalia yani nashindwa siwezi ila nitajitahidi kumwambia kama atanielewa"
nilimjibu Rita uku ananiangalia kwa jicho la huruma mda huo boti imeshafika na abiria wameanza kushuka.Nilimwinua Rita pale kwenye kiti tukawa tunashuka ila nilipotupa macho mbele nilishtuka sana baada ya kuona picha yangu imebandikwa kwenye kibanda kuu kuu cha bati ikiwa na maandishi yaliyosomeka kuwa "Anatafutwa,Most wanted" pia zikawekwa namba za simu kwamba yeyote atakaeniona atoe taarifa polisi au apige namba hizo.Rita aliangalia ile picha akanigeukia na kuniuliza
"huyu si wewe umekosa nini tena"
sikumjibu nilibaki naishangaa ile picha uku najiuliza nimekosa nini mpaka nitafutwe kiasi kile?.Niliondoka eneo lile uku kichwa nimeinamia chini watu wasinione ila kumbe vile vipeperushi vimeenezwa kila kona ya jiji la mwanza zilikuwa zimebandikwa kila mahali.Rita aliendelea kuniuliza nilichokosa nikamjibu ata mimi sijui pia nikamuomba aende nyumbani akaniambia hawezi kuniacha katika hali ile mpaka ajue muafaka wangu.Wakati tunabishana pale niliona watu wananinyooshea vidole apo nikajua tayari nimeonekana na wameshanijua.Haraka niliacha bara bara nikaingia kwenye uchochoro ambapo nilipoumaliza mbele yake nikakuta barabara nyingine ya vumbi kwa bahati ilikuwa baribu na kituo cha boda boda nikachukua na kumuambia akaniache njia panda.Kabla piki piki haijaondoka Rita nae alitokea kwenye ule uchochoro akawa analalamika nimsubiri piki piki ikasimama.nilimuanga­lia Rita nikamuambia neno moja tu
"twende"
Kisha piki piki ikaondoka na yeye akachukua pikipiki yake tukaanza kufatana.
Tulipofika njia panda dereva alinishusha Rita akawa amefika tukaongozana mpaka kwangu.Tulipofika kwa bahati nzuri Kumbe Anita hakuchukua simu ya Rita siku alipokuja kwangu nikamwambia kuwa Rita ana matatizo.Rita lifurah kuona simu yake baada ya kuweka kwenye chaji kidogo alimpigia Anita,Anita alifurahi sana akamwambia wazazi wao wameangaika sana kumtafuta bila mafanikio walijua Rita ameshauwawa waliongea na furaha sana Rita akamwambia Anita kuwa watakutana Hostel mda sio mrefu Anita akaitikia wakaagana na kukata simu.Rita alinigeukia na kuniambia
"mpenzi umekosa nini unatafuwa na polisi"
"Rita sijui imejulikana mimi ndio nimekutotosha hosptali isitoshe siku nakupeleka Ukerewe Domy nilimuona amezingirwa na polisi sasa nahisi amekamatwa"
"domy amekamatwa?"
kabla sijajibu swali lile mlango wangu uligongwa kwa fujo sikujua ni nani nikamwambia Rita akafungue.Rita alipofungua mlango akaingia mmoja wa madereva alietuleta mpaka njia panda akiwa na polisi wanne na bunduki na kuniamuru nikae chini nipo chini ya ulinzi.Nilitii amri wakapekua kila mahali ila hawakufanikiwa kupata chochote wakanifunga pingu na kunipakiza kwenye gari safari ya kuelekea kituoni ikaanza  Rita anapiga yowe
"muacheni Sparner wanguu..mwacheni mnampeleka wapii"
yalikuwa maneno ya Rita ila polisi wale wala hawakumsikiliza.
Waliponifikisha kituoni waliniambia nivue viatu,mkanda na simu na nitakabidhi kaunta.Nilitii amri nikachukua simu yangu pamoja na pesa kidogo nilizokuwa nazo,uku nasindikizwa na polisi wawili nilienda kaunta kukabidhi vitu vyangu.Moyo ulipasuka kwa mshtuko baada ya kumwona polisi aliekuwa kaunta kuwa ni yule changudoa ambae Domy alilala nae Usiku wa juzi,Nilishangaa huyu changudoa amekuwa polisi lini na yeye akaniangalia ila nadhani hakunikumbuka,nilimw­angalia mpaka naingia lupango(lock up),Kule nilikuta watu wa aina mbali mbali ila nilipoangalia zaidi niliona sura ambayo sikutegemea kuikuta mle ndani.Nilifikicha macho huenda naota ila ilikuwa kweli kuwa niliekuwa namuona Ni domy,Domy aliniangalia akatoa tabasamu hafifu na taratibu akaanza kupiga hatua kunifuata...USIKOSE  SEHEM YA 38...























#NILAMBE_APA #38
+19514256471
Ilipoishia..
Nilifikicha macho huenda naota ila ilikuwa kweli kuwa niliekuwa namuona Ni domy,Domy aliniangalia akatoa tabasamu hafifu na taratibu akaanza kupiga hatua kunifuata..
Endelea..
"Sparner umefuata nini uku"
"nikuulize wewe kwa nini wamekukamata"
"aah,achana nao wewe kwa nini wamekukamata"
"mi sijui nikajua ishu ya Rita ndio imevuja"
"hamna,wamenikamata kwa ishu zangu binafsi wale wanawake tulijua wanajiuza kumbe ni askari wale mwanangu walikuwa wananiweka kwenye taget yao"
"vipi ulimgonga kweli?"
"ndio nilimgonga nikampa pesa yake ila alinipa mapenzi ya hatari nikapagawa nikamwambia ishu ya sisi kumteka Rita nilijua mtu wa kawaida aise"
"wewe ni f*la kweli daah,,umeniuza mwanangu kisa mapenzi demu humjui cheki sasa"
Nililalamika sana pamoja na kumtukana Domy ila haikusaidia ndio hivyo nimeshaingia kwenye mtego pia.
Baada ya muda niliitwa nikaenda kutoa maelezo,Yule dada tuliedhani ni changudoa aliniambia
"kuna mtu anajua upo apa?"
"hapana"
"nani ungependa tumuambie"
"tafuta jina uko nimesave Rita"
alitoa simu yangu kwenye droo akaandika namba za Rita kwenye simu yake na kumpigia,alimpa taarifa na kituo nilichopo kisha akakata sim na kuniambia kuwa ninashtakiwa kwa kosa la kuteka na kumnusisha mtu madawa ya kulenya.Nilimsikiliz­a yule dada kwa makini nikamwambia mimi sijafanya hivyo,aliniangalia kwa dharau akaniambia
"katt ila utakubali tu ngoja huyo dada aje ndio atasema ukweli,mlidhani mimi kahaba kweli sio,na yule muuza madawa ya kulevya mwenzako ndio atanijua mimi ni nani na utamu wangu aliyohuonja atautema leo washenzi nyie toka mbele yangu"
Aliongea na kunifukuza nikarudishwa kwenye kile chumba nilichokuwepo mwanzo.Nilimweleza Domy kilichonisibu akanipa pole alafu akaniambia
"unajua mimi kweli nina makosa,nakupa siri yangu ila usimwambie mtu yoyote ata iweje usiseme"
"sawa kaka kwa sababu mi nashangaa mpaka sasa ivi sielewi chochote kabisa"
Domy alivuta pumzi kidogo na kuniambia:
"Nilikosa ela ya chuo nikaamua kujichanganya mtaani kwenye uvuvi haramu wa kutumia sumu,tulikuwa tunavua usiku na kupata samaki wengi sana.ndani ya muda mfupi maisha yangu yalibadilika.Kazi ile haikuwa yetu tulikuwa chini ya tajiri mmoja ivi,sasa kumbe yule tajiri pia anajihusisha na uuzaji wa madawa ya kulenya na baada ya kupendezwa na uchapaji wangu wa kazi aliniamishia kwenye usambazaji wa madawa apo ndio nikawa napata pesa nyingi sana ata siku ile nilipokutana na wewe kwenye ile begi zile zilikuwa ni pesa kuna biashara nilitoka kufanya mahali na pale nilipoingia ndio kwa tajiri yangu,sasa sijui nani amenisaliti mpaka nikajulikana pia kibaya zaidi nimekutwa na kete kadhaa hivyo kubisha siwezi sasa wananilazimisha nimtaje tajiri wangu kitu ambacho kamwe sintaweza kukifanya.Sasa nakuomba ukitoka uku kamwambie tajiri wangu kuwa nimekamatwa aje anitoe."
alimaliza kunielezea apo nikapata picha,wakati nawaza hayo waliingia askari wawili wakaita jina langu na jina la Domy,kabla ata hatujaamka vizuri walikuja wakatushika na kutupeleka kwenye chumba kingine.Palikuwa kimya sana kwani ilikuwa ni usiku wale askari walitufunga mikono kwenye nguzo tukawa tumesimama kwenye sakafu iliyokuwa na ubaridi wa hali ya juu.Baada ya kutufunga na kuondoka akaingia yule dada tuliedhani ni kahaba kumbe ni askari akiwa amevaa kigauni chepesi cha kulalia iliyoonyesha sehemu kubwa ya mwili wake. Alikuja na kiti akakaa mbele yetu alafu akatuuliza nani tajiri wetu anaetutuma tusambaze madawa ya kulevya sisi tukanyamaza,kwa hasira akauliza kwa mara ya pili pia tukanyamaza.Taratibu­ aliamka pale kitini akapandisha kile kigauni juu akawa anajipapasa kwenye naniliu yake uku anatoa miguno utadhani anafanya mapenzi. Mapaja yake yalikuwa malaini na yaliyojaa vizuri mimi mzuka ukaanza kunipanda,Taratibu alimfuata Domy na kuanza kumnyonya sehem za kifuani,Vita nikuvute mwishoTaratibu alichomoa dunduso ya Domy na kuanza kuunyonya mimi nikawa naangalia Domy anavyowewezeka kwa raha alizokuwa anazipata.Akiwa amepiga magoti yule dada aliweka dunduso ya Domy kwenye matiti akawa anamuuliza
"tajiri wako ni nani"
"dada s..sina taj..iri ooh"
"husemi ee"
Aliendelea kuunyonya uume Wa Domy mda huo hali yangu imekuwa mbaya nikatamani aje anihoji na mimi ila wakati nawaza hayo,yule dada akatoa kiwembe na kumwambia Domy
"sasa unaona ilivyosimama ivi nachanja hiki kichwa sema tajiri wako ni nani nahesabu 1,2,3 husemi"
aliongea uku ameshika kiwembe Domy hakuamini alichokuwa anakiona.Kweli mnara wa Domy ulikuwa hewani hivyo akimchanja na wembe itakatika sana kwa jinsi ilivyokaza. Sikuamini yule dada baada ya kumuuliza Domy mara kadhaa Domy akawa Kimya Alichanja uume Wa Domy na kile kiwembe Domy alitoa kelele kubwa sana ya uchungu damu zikawa zinatiririka,Dada hakujali hilo akamuacha domy akiwa analia kisha akaja kwangu mda huo natetemeka sana akaniuliza Boss wenu ni nani,Nilinyamaza kimya akaanza kuhesabu kama alivyofanya kwa Domy mda huo namsikia kwa tabu kutokana na kelele za uchungu Domy alizokuwa anazipiga...
Itaendelea....

















#NILAMBE_APA #39
0756944855
Ilipoishia
Bos wenu ni nani,Nilinyamaza kimya akaanza kuhesabu kama alivyofanya kwa Domy mda huo namsikia kwa tabu kutokana na kelele za uchungu Domy alizokuwa anazipiga
endelea..
Aliniuliza kwa mara nyingine sikumjibu akaniangalia kwa hasira,taratibu akaanzakufungua zipu ya suruali yangu ila kabla hajafanya hivyo Domy akasema
"huyo hajui chochote muache"
"hivyo wewe ndio unaefaham si ndio ee"
aliuliza yule dada ambapo aliniacha pia mda huo huo nikafunguliwa na kurudishwa kwenye kile chumba nilichokuwepo mara ya kwanza nikawekwa na wafungwa wengine.Nilikaa macho mpaka asubuhi nikiwa namuwaza Domy sikujua masaibu yaliyokuwa yanamkuta kule na nilitokea kumchukia sana yule dada kwa aliyomfanyia Domy.
Kulipopambazuka niliitwa kwenye chumba kingine,nilienda nikiongozwa na polisi wawili na nilipofika nilimkuta Rita na Anita wamekuja kunisalimia nilifurah sana kuwaona,kwanza Rita akaniuliza
"huby kwa nini wamekuleta humu"
"wameniambia nilikuteka wewe na Anita nimempa madawa ya kulevya"
"umeniteka saa ngapi mimi hujaniteka"
polis aliekuwepo pembeni alitusikiliza kwa makini akauliza
"nyie mabinti msichezee jeshi la polisi kati yenu nani alikuja kushtaki dada yake ametekwa?"
"ni mimi ila nilihisi tu skujua kuwa alikuwa na nia nzuri na mdogo wangu"alijibu Anitha kwa unyonge kumbe yeye ndio alipeleka taarifa polisi kuwa nimemteka mdogo wake,mimi na Rita tulitazamana kwa mshangao na baada ya ukimya wa mda mfupi nikarudishwa kwenye kile chumba ambapo sikukaa sana nikaja kuitwa na kuambiwa nivae viatu vyangu nipo huru Nilifurahi sana haraka nikafanya hivyo na nilipotoka nje nikawakuta Rita na Anita wananisubiri kumbe wao ndio waliofanya mpango nikatoka .Rita alinikumbatia akanipa pole kwa matatizo yote niliyoyapata.Waliita­ tax tukapanda kuelekea nyumbani,Njiani Rita akaniambia
"mpenzi siku hizi hatukai tena hostel baba katupangishia bonge la nyumba"
"vizuri sana"
"unaonekana huna furaha mpenzi kwa nini"
"nipo sawa kabisa"
niliongea hayo ila nilikuwa namuwaza Domy na jinsi ya kwenda kuonana na tajiri wake ili akamsaidie na wakati wote Rita ndio alikuwa muongeaji sana yeye Anita alikuwa pembeni amekaa kinyonge nahisi alikuwa na wasiwasi kuwa nina hasira nae kwa kitendo alichofanya cha kunishtaki polisi.Nilishangaa gari linaingia kwenye nyumba moja ndogo ila nzuri sana nisioifahamu,nilimuu­liza Rita akaniambia pale ndio wanapoishi kwa sasa nikawaambia
"ila mimi nilitaka mnipeleke kwangu nikapumzike pia nibadilishe nguo"
"apa pia ni kwako beby nguo nitaenda kukuletea utanipa funguo wala usiogope kuhusu hilo kwanza vua nguo kaoge utoe mikos ya kule mahabusu"
aliniambia hayo Rita uku ananishika mkono tunaingia ndani,Anita alielekea chumbani na kutuacha mimi na Rita pale sebuleni na Rita baada ya kunionyesha bafu aliniacha nikiwa naoga yeye akatoka,baada ya dakika kadhaa alirudi akaniambia anafika sokoni mara moja kwa kuwa pale na sokoni sio mbali sana kwa jinsi alivyonielekeza nilimkubalia pia akaniambia ataenda kwangu kuniletea nguo za kubadilisha.Nilipoma­liza nilijifunga taulo nikarudi sebuleni ambapo nilimkuta Anita amekaa anaangalia tv mimi nikakaa kwenye sofa lingine,Anita aliniangalia kwa jicho la wizi alafu akaniambia
"sparner upo sawa?"
"ndio wewe ndio naona kama una wasiwasi na mimi"
"nahisi nimekukosea sana naomba nisamehe"
"wala usihofu Anita ni aki yako kumlinda dada yako"
"Asante kama umenisamehe"
Aliongea kwa furaha akaelekea chumbani uku anafurahi sana baada ya muda akatoka na kanga moja kisha akaingia bafuni,nilimsindikiz­a kwa macho uku naangalia jinsi alivyoumbika uko nyuma Anita na Rita walikuwa wembamba wa wastani ila" wowowo" walikuwa nalo haswaa.
Anita alipomaliza kuoga alitoka na ile kanga moja akaja kukaa kwenye lile sofa niliokuwa nimekaa naangalia tv ila akawa ananiangalia sana badala ya kuangalia tv,nilijifanya simuoni mara akalaza kichwa chake kwenye miguu yangu uku ananiambia
"nina usingizi"
"kalale kitandani"
"nataka apa apa"
aliongea kwa sauti ya kudeka uku ameangaliza mdomo usawa wa dunguso yangu iliyokuwa imefunikwa na Taulo,kwa kuwa ilishaanza kusachi netwok Anita alianza kuimumunya kwa staili kama anaing'ata nikahisi raha ila nikatamani niitoe kwenye ile taulo,Aliendelea na zoezi lile mda huo mimi nampapasa mgongoni na taratibu akafungunua ile taulo sasa akaanza kumumunya mpini wangu ambapo nilihisi raha mara dufu kutokana na joto la kwenye mdomo wake,Alipanda mpaka kifuani kwangu mda huo nimeshafungua ile kanga yake wote tupo kama tulivyozaliwa.Nikiwa­ nimekaa pale sofani alipanda akajiweka sawa akaweka dunguso yangu kwenye utam wake akaanza kuukalia taratibu ilikuwa inaingia kwa tabu inaonekana hakugongwa mda mrefu.mechi ilianza uku amenikumbatia mimi nikawa nachezea chuchu zake kwa ulimi wangu wakati huo anaenda chini na kurudi juu.Wakati naendelea kupata raha na Anita pale sofani mara mlango ulianza kugongwa kwa kasi ya ajabu.tulishtuka ila wakati tunajiuliza ni nani mara tuliskia Rita anahema sana uku anasema fungueni mlango nauwawa.....


















#NILAMBE_APA #40
0756944855

Wakati napata raha na Anita pale sofani mlango ulianza kugongwa kwa fujo.tulishtuka na wakati tunajiuliza ni nani mara tuliskia Rita anahema sana uku anasema fungueni mlango nauwawa

endelea,,
Haraka nilijifunga taulo langu nikaenda kufungua mlango yeye Anita akakimbilia chumbani.Rita aliingia uku anahema sana nikamuuliza tatizo nini akawa anashindwa kuniadithia kwa jinsi alivyokuwa anahema kwa kasi,Anita alitoka chumbani akauliza
"tatizo nini Rita"
"na..nafukuzwa"
"na nani?"
kabla Rita hajajibu swali lile mlango ulisukumwa wakaingia jamaa watatu wakiwa wameweka mikono yao mfukoni Rita akasema "baby hawa ndio walikuwa wananifukuza tokeni nitawaitia polisi mnataka nini"
wale jamaa
hawakujibu swali la Rita waliniangalia wakaniuliza kuwa mimi ndio Sparner nikawaambia ndio mimi wakaniambia wanataka kuondoka na mimi ila nisiwe na waswasi nitakuwa salama kabisa,Niliwauliza wanapotaka kunipeleka wakaniambia nitajua mbele kwa mbele.Nilivaa nguo zangu nikaondoka nao ila Rita akasema anaongozana na mimi,mwanzo walimkatalia ila baada ya Rita kulazimisha sana walimkubalia.Tulitoka pale tukapanda kwenye gari lao aina ya morano yenye vioo vyeusi kisha wakaliondoa kwa kasi ya ajabu,baada ya mwendo wa dakika kama 15 gari lile liliingia mahali ambapo ni kama napajua na nilipovuta kumbu kumbu nilikumbuka pale ni kwa boss wake na Domy na nyumba ile ndio domy aliingia na begi mimi akaniacha nje siku ya kwanza.Tulishuka tukaingia ndani nikakutana uso kwa uso na mtu mmoja akiwa amekaa kwenye sofa pembeni akiwa amezungukwa na wasichana wawili waliokuwa wamevaa nusu uchi wale jamaa wakanikabidhi kwa mtu yule ambapo aliwaamuru wote waondoke abaki na mimi tu,baada ya watu wote kuondoka akaniambia
"wewe ndio ulikuwa na Domy kule lock up"
"ndio,alafu amenituma umtoe kwa sabab.."
"ngooja kwanza usiwe na haraka,amekuambia kitu gani kuhusu mimi"
"hajaniambia kitu aliniambia umtoe anateseka kule"
"unajua kwa nini amekamatwa?"
nilifikiria kwa sekunde kadhaa nikakumbuka kuwa Domy aliniambia nisimwambie mtu nikamjibu kuwa mimi sijui,Aliniuliza mara mbili mbili nikamwambia sijui kwa sababu hakuniambia.yule bosi alitikisa kichwa kuonesha amekubaliana na majibu yangu akaniomba samahani kwa usumbufu akanipa kias cha pesa na kuniruhusu niondoke,wakati naondoka alipiga simu mahali nikamsikia anaongea kuhusu mimi kuwa nimesema domy hajaniambia chochote.Nilitoka nikampitia Rita nje alipokuwa ananisubiri tukachukua tax mpaka nyumbani.Anita alipotuona alifurah sana hapo tukaesabu zile pesa zilikuwa laki moja na elfu sabini nilifurah kupata ela kama zile kirahisi bila kuzitolea jasho.Rita aliaga na kwenda bafuni nikabaki na Anita pale sebuleni,aliniangalia akaniambia
"unajua wale washenzi wametuacha na hamu saa ile yani apa ninavyokuona tayari nipo hoi"
"washenzi wale ila sasa ivi haifai Rita akitoka ni balaa"
"hana shida buana alafu yupo bafuni we nipe kidogo walau ingiza tu alafu uchomoe mi nitaridhika"aliongea uku ananishika uku maeneo mimi
nilimpanga sana ila akawa m'bishi mpaka akawa anataka kulia kwa kuwa alikuwa na kanga moja nilisimama yeye akapiga magoti pale sofani alafu akakaa staili kama mtoto anaetambaa mimi nikaja kwa nyuma yake nikaingiza pipi rungu yangu kwenye utamu wake lengo langu ilikuwa niingize alafu nichomoe kama alivyoniambia ila raha nilizozipata nilijikuta naanza kumpa mambo uku namziba mdomo kwa viganja vyangu ili asipige kelele.Nilimpa mambo Anita alikuwa mtamu naisi la kwa sababu tulikuwa tunaiba iba.Tulipomaliza alielekea chumbani sijui alienda kufanya nini.Nilikumbuka simu yangu kuwa sikuwa nimeiwasha siku ya pili sasa na nilipoiwasha meseji ya Domy iliingia kuwa yupo kwangu anataka kuongea namimi.Wakati najiuliza Domy ametoka lini kule kituoni mara alinipigia
"Domy vipi"
"mbaya aise yule malay* kaniumiza upo wapi nipo kwako"
"poa nakuja nipo karibu"
nilimjibu Domy na kumfuata Rita bafuni nikamwambia kuwa nimepata simu ya gafla
"hubby unaniacha hivi hivi jamani njoo ata niingizie kidogo nina hamu saana"
"hapana mpenzi kesho tutafanya vizuri"
Haraka niliondoka bila kumuaga Anita aliekuwa bado chumbani.
 Nilifika nikamkuta Domy amekaa mlangoni ananisubiri tukaingia ndani,alikuwa amenyong'onyea sana akaniambia
"bora umesema kuwa hujui chochote yani ungeropoka ungeuwawa pale pale"
"ila anaonekana ana roho nzuri sana bos wako"
"ndio hivyo sisi wauza madawa tunatakiwa tuwe na roho nzuri ili iwe ngumu kushtukiwa"
 Domy alikuwa amechanjwa sana sehem mbali mbali za mwili wake na aliapa hatamuacha yule polisi wa kike aliemfanyia hivyo ata mimi nikamuunga mkono pia nikamuhaidi kumsaidia ilichukua wiki tatu akiwa anauguza vidonda na hatimaye akapona akawa safi km zamani...













No comments:

Lazaro Masika. Powered by Blogger.