NILAMBE_APA SEHEMU YA 31-35
#NILAMBE_APA #31
0756944855
Ilipoishia..
aliniambia nikafanye mapenzi na Rita ndio tuelewane nami nikakubali kwa shingo upande bila kujua lengo lake hasa ni nini..
Endelea..
Siku zilienda,nilikosa mda wa kimtafuta Rita,penzi la Rahel lilinichanganya sana.Ata Herieth sikuwa na hamu nae na ikitokea tumekutana ni round moja nimejitahidi sana mbili.mapenzi yangu yote yalikuwa kwa Rahel.Alinipenda na alinipa kila nilichokuwa nahitaji,njaa na ukata wa maisha nikawa nasikia tu kwa wenzangu mtaani.
Siku moja tukiwa mjini mimi na Rahel tunafanya manunuzi ya vitu mbali mbali,nilimuona Rita kwenye bar moja na marafiki zake wanakunywa.Ni muda sana sijamuona na urembo wake uliongezeka,niliwaza,
"binti mzuri kama huyu anajihusisha na mambo ya uchawi?"
kwa kuwa nilikuwa kwenye gari hakuweza kuniona.Tulifanya manunuzi uku namuharakisha Rahel lengo langu nimrudie Rita aniambie ukweli kuhusu kitendo alichomfanyia Herieth.Mwisho
tulimaliza na kurudi nyumbani.Kupunguza uchovu Rahel akaniambia tuingie bafuni.tulivua nguo tukajifunga taulo na kwenda bafuni ambapo tulianza kuogeshana kimahaba uku tunachezea maji,Umbo na uzuri wa Rahel ulinichanganya utadhani sikuwahi kumuona kabla,lolipop ilituna.nilijitahidi kuficha ila Rahel akaona. alinisogelea na kuniambia
"beby unataka?"
"ha..hapana"
"sasa mbona upo hivyo mpenzi ata mimi nataka"aliongea taratibu uku anasogeza mdomo wake kwangu.taratibu tulianza kupena mabusu uku tunapapasana kimahaba na miguno ya apa na pale ikawa inasikika,nilimpeleka ukutan,uku amesimama akanyanyua mguu mmoja akaniwekea kiunoni apo mashine yangu ata bila kuelelekezwa taratibu ikaanza kuingia kwenye utamu wa Rahel.Nilianza kumpa mambo uku amenikumbatia kwa nguvu anaongea maneno ambayo sikuyaelewa,baada dakika kadhaa tukabadili staili safar hii akashika sink mi nikaja kwa nyuma yake yani hii staili niliskia raha ya ajabu,Mechi iliamia kitandani mpaka tukawa hoi.Tulipumzika kidogo nikaoga tayari kuondoka.
"baby tulale jaman"
"hapana naomba leo niondoke nitakuja siku nyingine tulale"
nilimjibu na kumpiga busu la shavu,nikaondoka uku ananisindikiza kwa macho.
* * *
Nilitoka pale na kumpigia Rita. nilimuuliza alipo akaniambia mimi nikakodi taxi na baada ya muda mfupi nikawa nimefika.Nilimkuta yupo na majamaa wawili na msichana mmoja jirani na ile bar niliyomuona mchana.Alinikumbatia akaniambia amenimis na sauti yake ilionesha kabisa kuwa amelewa kwani akiwa amenikumbatia mimi ndio nilikuwa namzuia asianguke alikuwa anapepesuka kwa ulevi.Niliwasalimia wale majamaa na yule msichana stori mbili tatu tukawaaga na kuondoka.Niliwaza nikae nae mahali ila nikaona hatanielewa kwani alikuwa amelewa hivyo nikaenda nae kwangu.Tulifika akajitupa kitandani uku anaongea ovyo kilevi
"nipo kwa mpenz wanguu...leo ni zamu yangu..beby njoo nilambe apa.."
"nyamaza Rita sasa ivi ni usiku"
"ook,ook.njoo basi nilambe apa au ngoja nivue nguo kabisaa,leo navua mwenyewee"
alizidi kuropoka kilevi mi nikawa nimesimama mlangoni namuangalia.Alipobaki na skin tyte pekee,aliniangalia akaniambia
"haya njoo.come beby f*ck me please hii tyte utaimalizia mwenyewe au nivue na hii?"
sikumjibu.
Ingawa nimemgonga Rahel mda mfupi uliopita,ila nilipoangalia chuchu na mapaja ya Rita ashki ilinipanda.Nilipokumbuka kuwa Herieth alikuwa ananisisitiza nifanye mapenzi na Rita hamu ilitoweka nikawa na wasiwasi huenda kuna kitu,Rita aliendelea kuniita uku anatukana ovyo mimi nikawa nawaza nimgonge au la, pale ikatokea nafsi mbili zinabishana.Nafsi moja ikaniambia kama kungekuwa na tatizo basi Rahel angeshapata kwa sababu nilimgonga mchana,Nilitoka nje nikampigia Rahel Sim kujua kama ni mzima.
"hellow mzima wewe"
"yess am okey beby ila nimeshakumis natamani uje unipe tena you are so sweet"
"mi ni wako Rahel wangu nilitaka kusikia sauti yako tu"
"poa darling,i love you"
Nilikata simu nikarudi ndani,Rita alinifuata akanikumbatia na kunitupa kitandani alianza kunivua nguo zangu uku ananipa mabusu yasiyo na idadi,nilienjoy harufu ya wine aliyokunywa sijui ilikuwa ni wine gani nae akavua ile tyte yake sasa wote tukabaki kama tulivyozaliwa,alitoa pipi rungu yangu akawa anaishika kimahaba mimi nikawa hoi kwa raha,taratibu alipeleka mdomo kwenye pipi rungu ili ainyonye,kabla hajaifikia akaniambia..
"baby mbona huu ub*o unawaka waka"
"unawaka waka kivipi imekuwa taa ya krismas au madini?"
"inaonekana imetoka kuchimba madini mahali unanisaliti Sparner"
"inawaka waka kivipi"
Niliangalia na kugundua kweli kutokana na mwanga hafifu mle chumbani mpipii wangu ulikuwa unawaka waka na Rita akagundua kuwa nimetoka kupukuchua mtu.Ni kweli kabisa ila nikaendelea kubisha
"sijafanya mapenzi na mtu we pombe zako ndio zinakutuma vibaya"
tuligombana mwisho akanielewa.
Tulianza moja vuta nikutute mwisho mi nikiwa chini yeye juu akaiset mashine yangu kwenye utam wake akaanza kuukalia taratibu uku anauma lips zake kwa raha.
Wakati naendeleana dozi Rita aliniambia
"baby mbona shoti,napigwa shoti shoti jamani nakufaa"
aliongea hayo na kunyamaza kimya kifuani kwangu..... - - - >>
#NILAMBE_APA #32
0756944855
Ilipoishia..
Wakati naendelea na dozi Rita aliniambia
"baby mbona shoti,napigwa shoti shoti jamani nakufaa"
aliongea hayo na kunyamaza kimya kifuani kwangu.
Endelea..
Nilimsukuma pembeni nikaanza kumwita kama ataitika bila mafanikio,niliposikiliza mapigo yake ya moyo,niliyasikia kwa mbali sana tena mara chache ni kama kila baada ya sekunde nane mpaka kumi.Kwa hali aliyokuwa nayo hakuwa wa kupona kabisa.Niliwaza nikamfukie usiku ule ule ila nikakumbuka nilipoondoka nae kuna marafiki zake walioniona nikiondoka nae hapo
nikachanganyikiwa nisijue la kufanya.Nilimuwaza Rahel mpenzi wangu atajiskiaje,ni mchana tu amenipa penzi ila bado nimemsaliti na yamenikuta haya yaliyonikuta roho iliniuma sana.Nilimvalisha Rita nguo zake hivyo hivyo akiwa amenyamaza kimya ata pumzi zilikuwa ni kama zinaendelea kufifia.Pale pale nikapata wazo la kumpigia Herieth,Nilimpigia mara mbili ila hakupokea.nilipojaribu mara ya tatu akapokea
"hallow Herieth"
"vipi mbona unahema hivyo usiku wote huu?"
"nimeisha,si uliniambia nifanye mapenzi na Rita"
"ehe,kwani vipi"
"amekufa amefia apa kwangu nimeisha mimi naomba nisaidie"
"aha,,safi,sasa si ni dem wako msaidie we unataka mimi nikusaidie nini?"
aliongea kwa jeuri na kukata sim ambapo nilijaribu kupiga mara kadhaa ila hakupokea.Jasho la hasira na uoga lilinitoka sikuamini Herieth angeweza kunifanyia ukatili wa aina hiyo.Niliangalia saa ilikuwa yapata saa sita usiku nikagundua hakukuwa na namna yoyote ya kumpeleka Rita hosptal kwani mtaa ninaokaa usiku kama ule madereva huwa wanaogopa kufika.Nilikaa kwenye sofa mpaka asubuh bila kupitiwa na usingizi.kulipopambazuka nikaita taxi na kumpeleka Rita hosptali ya bugando.Pale nilitoa maelezo kuwa ameanguka gafla asubuh na kupoteza fahamu,haraka alichukuliwa na kupelekwa wodi ya wagonjwa mahututi na baada ya muda doctor aliniita akaniambia.
"inaonekana amepigwa shoti ya umeme pia alifanya mapenzi mda mfupi kabla ya kukutwa na tatizo hilo"
"docta sio kweli ni.."
"unabisha nini au tuwaachie polisi wafanye uchunguzi,vipimo vinaonesha hivyo na amekutwa na mbegu za kiume kwenye uke au mlikuwa mnatiana uku anapika na jiko la umeme"
"isiende polisi docta naomba"
docta aliniangalia akatikisa kichwa na kuondoka.
Nilirudi nyumbani uku nikiwa na mawazo tele.Nilikagua pochi ya Rita na kukuta simu yake ambayo ilikuwa silent mode,ikiwa na miss call nyingi sana pamoja na meseji.Wakati nasoma soma zile meseji.kuna namba ikawa inapiga ambayo aliisave my twin mimi nikajua ni Anita,nilisita kidogo.kisha nikapokea
"hellow Anita mi Sparner""
"waaoh,kumbe Shem ndio umemzuia Rita ata kunijulisha mmh"
"hapana,naomba uje apa kwangu mara moja"
"kuna tatizo"
"wewe njoo"
Haikupita muda Anita alikuja ambapo bila kumficha nilimweleza ukweli kuwa tukiwa tunafanya mapenzi gafla Rita alipoteza faham nikampeleka hosptali.Anita alipanic sana ilinichukua masaa matatu kumwelesha apo kidogo akaanza kunielewa.tuliongozana mpaka wodi aliyolazwa Rita akiwa na drip pamoja na mipira ya kutosha uku hajitambui.Anita alipomwona dada yake katika hali ile aliangua kilio kila mtu akawa anamwonea huruma,haikuruhusiwa kumuona Rita ila Anita ilishindikana kumzuia.Machozi yalinitoka,nilikumbuka mambo niliyoyafanya na Rita toka tunasoma na alivyonikaribisha kidato cha kwanza yeye akiwa kidato cha pili nilibubujikwa na machozi.
Siku zilienda hali ya Rita bado ilikuwa vile vile uku Anita akiwa anamlinda hatoki pembeni ya kitanda cha Rita.Madaktari walimuacha kwa imani kuwa kwa sababu ni mapacha nafsi zao zitasaidiana Rita asipoteze uhai.
* * *
Kwa upande wa Rahel alishindwa kunielewa kwani nilikuwa nimebadilika sieleweki mda wote ni mtu wa mawazo na akiniambia tuonane nilikuwa namkwepa kutokana na mawazo niliyokuwa nayo.Siku moja alikuja kwangu bila taarifa mchana ambapo alinikuta ndio nimetoka kuoga,ni wiki sasa ilikuwa imepita pasipo mimi kugusa maji mda mwingi nilikuwa mtu wa mawazo.
Alifungua mlango akanimbia
"waaoh nimekuja mda muafaka,beby usivae surual i miss it"
"sipo sawa Rahel naomba niache kwanza nitakupa siku nyingine"
"waat,you are not serious beby"
aliongea maneno hayo na kunisukumia kitandani ile taulo niliyokuwa nimejifunga ikadongoka,alikuja kwa juu na kuanza kulamba dunduso yangu kwa staili kama mtu anelamba koni,aliamia kwenye magololi uku mkono wake mlaini unapapasa kipara cha koni yangu,alifanya hivyo kwa ustadi wa hali ya juu sana ila mnara wangu bado uligoma kusachi netweki mi akili yangu haikuwa pale kabisa
"honey jamani leo vipi au huna ham na mimi umetoka kwa madem zako"
"sipo sawa Rahel nilikuambia ila hukutaka kunisikiliza"
hakukata tamaa,alivua blause yake na kunisogezea chuchu zake nizinyonye kwani ndio udhaifu wangu ulipo uku akiniambia
"suck my boobs beby suck"
nilikataa ila kumridhisha nikafanya hivyo akawa anatoa miguno ya raha uku anapapasa koni yangu kiufundi sana,pamoja na juhudi zote hizo bado mnara uligoma kusachi netwek mawazo yangu yalikuwa hosptalini kwa Rita.sijui aliwaza nini akanipiga kibao cha uso paah..... USIKOSE SEHEM YA #33 YA SIMULIZI HII.....
#NILAMBE_APA #33
0756944855
ILIPOISHIA..
bado mnara uligoma kusachi netwek mawazo yangu yalikuwa hosptalini kwa Rita.sijui aliwaza nini akanipiga kibao cha uso paah.
Endelea
Nilitaka nimrudishie ila nikabaki nimeduwaa namuangalia.Aliniangalia kwa hasira akaniambia
"Umenisaliti mshenzi wewe au hunitaki"
"Rahel bora tuachane mimi naona umenifanya mtumwa wa ngono mi nakuambia sijiskii vizuri hunielewi"
"unasema tuachane?"
"ndio"
"c'moon baby usifanye hivyo nisamehe nimekumis sana ndio maana,sasa umeenda hospital"
"hapana kuna ela nasubiri mahali ndio niende"
"usijali ngoja nikupe hizi zitakusaidia uwah ili upone mpenz sawa"
"sawa"
Aliingiza mkono kwenye pochi akatoa noti mbili za dola 200 na kunipatia na baada ya hapo akaanza kunipigisha soga mpaka alipohakikisha furaha yangu imerudi ndio akaondoka.
Nilifurahi sana kupata zile pesa,kwangu ilikuwa bahati kubwa kwani pesa zangu za akiba ziliishia kwenye matibabu ya Rita na sikuwa na kitu tena.Jioni ya siku hiyo nilikwenda hospital,kwenye kitanda alicholazwa Rita nilikuta wazazi wake wamekuja kutoka Arusha,Mama Rita alikuwa analia sana baba Rita akawa anamtuliza akimwambia Rita atapona nae Anita macho yalikuwa mekundu kwa kulia usiku na mchana.Huruma ya ajabu iliniingia nilipoangalia familia ile inavyoteseka uku chanzo cha matatizo yote ni mimi.Nilijikaza machozi yasinitoke,kwa hasira nikatoka pale hospital mpaka nyumbani kwa Herieth ambapo nilimkuta amekaa sebuleni anaangalia tv na tumbo lake lilishaanza kuwa kubwa.Aliponiona akaniambia
"ooh baba watoto umekuja"
"sijaja kufanya utani na wewe naomba Rita apone"
"hee..mkuki kwa nguruwe mtamu ee,mimi alivyotaka kuniua mbona hukumfuata na kumuomba niwe mzima?"
"ni sawa ila umeniweka kwenye matatizo sasa mimi naonekana m'baya
"aah.hayanihusu"
"sikupendi huna huruma kwanza hiyo mimba itoe sitaki mtoto na shetani kama wewe"
"kwani nilishakufuata kukuomba msaada wowote?mimba sitoi,na wewe sikutaki"
"utatoa"
" sitoi kwanza toka kwangu.tokaa"
Kiunyonge niliondoka na kwenda nyumbani uku namuwaza Herieth,nilimchukia kuliko chochote kwenye hii dunia.
Usiku sikulala nilikuwa nawaza cha kufanya ili Rita apone.baada ya kumfuata Herieth na kunifukuza nilipata wazo kesho yake mimi mwenyewe nirudi ukerewe kwa yule mzee nikamuombe amsamehe Rita.Nilifurah kupata wazo hilo kesho yake asubuh nikaanza safari.Nilifika mjini na kuchukua usafiri wa pikipiki mpaka kwa mzee yule.Nilimkuta nje ananoa kisu kwenye jiwe nikamsalimia na uzuri akanikumbuka. Nilimwambia shida na historia yangu yote inayohusu mimi,Rita na Herieth.Alinisikiliza kwa makini akaniambia..
"pole mjukuu wangu mimi ndio nilikuwekea huo mtego kwamba ukifanya mapenzi na Rita yatokee hayo yaliyotokea na hii ni baada ya wewe kuzimia siku ile"
"Herieth ndio alinilazimisha nifanye mapenz na Rita babu nisaidie"
"ni lazima mgonjwa aletwe apa ndio apate tiba"
Hakukuwa na jinsi,nililala kwa yule mzee ata uoga niliokuwa nao mwanzo sikuwa nao tena na lile joka kwenye chungu sikumwogopa yani nililala fofofo.
Kesho yake nilirudi mjini nikiwa na furaha kuwa sasa Rita anaenda kupona.Kwa furaha niliyokuwa nayo nilienda kwa Rahel bila kumtaarifu nikampe mambo pia anitoe ela kidogo ya kunisaidia kumpeleka Rita ukerewe.Nilifika kwenye geti la Rahel ila kabla sijagonga nilisikia watu wanaongea kwa ndani
"Rahel unaonekana umenogewa na penzi la yule dogo "
"hapana usiseme hivyo ni kwamba.."
"kwamba nini mda wote malengo hayatimii mnapeana raha tu?"
"juzi ilikuwa ndio siku nzuri ila alikuwa mgonjwa hivyo hatukufanya kitu ila nimempa ela aende hospital kwanza ngoja nimpigie nimuulize hali yake"
Sauti ya Rahel niliitambua ila sauti ya pili ya kiume sikuitambua,niliposikia wanataka kunipigia sim nikaondoka eneo lile haraka uku nawaza wana malengo gani na mimi na juzi ningekubali kumgonga Rahel kwani nini kingenitokea,Nilijiuliza hayo maswali uku natetemeka kwa uoga.Sikutaka kuumiza kichwa sana kwa hilo nikawahi hospital.Nilifika na kumwita Anita pembeni nikamueleza kuwa kuna docta anaetumia dawa za kiasili anaweza kumtibu Rita.Anita hakunielewa akaniambia nataka nikamuue dada yake.Nilimpanga sana ila hakunielewa sasa sikuwa na ujanja tena nikarudi nyumbani uku nawaza nitafanyaje kwa sababu Anita hakuniamini ata kidogo na huwa habanduki pale.Kichwa kilikuwa kizito kwa mawazo.Nikimfikiria Rahel sikujua alikuwa na lengo gani na mimi,Herieth nae ameniacha wakati ana mimba yangu na Anita nae ndio hivyo hataki nikamtibu dada yake na sikutaka suala hili nimshirikishe mtu mwingine zaidi yake.
Siku zilienda na kutokana na muda niliyokaa mtaani,zile pesa nilizopewa na Rahel ziliisha na pakupata zingine sikujua.Ni hapo nilipogundua kuwa maisha yangu sasa yanaenda kuwa duni kama zamani ina maana Rahel akiniacha basi sina kimbilio tena.
Niliamua nimpigie kama kuna uwezekano nionane nae kwani udhaifu wake ni kwenye mapenzi na nilishalijua hilo,niliona nijitoe sadaka kama kuna baya anataka kunifanyia afanye tu kwani sikuwa na namna na nilikuwa tayari kufa ila Rita apone...TUKUTANE KESHO TENA KTK SEHEM YA #34...
#NILAMBE_APA #34
0756944855
Ilipoishia,,
sikuwa na namna na nilikuwa tayari kufa ila Rita apone.
Endelea..
Nilimpigia sim akapokea kwa furaha.
"ooh baby umenikumbuka leo"
"nmekumis sana Rahel upo wapi"
"nipo nyumbani pia nmekumis ila naogopa kukupigia tokea uniambie nimekufanya mtumwa wa ngono iliniumiza ata kukutafuta siku hizi naogopa"
"hapana mpenzi wala usiogope ilikuwa hasira tu"
"njoo basi nyumbani ndio nmetoka bafuni ata nguo sintavaa nakusubiri"
"wewe si uje kwangu?"
"njoo buana wewe uku,alafu sina mpango wa kutoka leo"
Sikuwa na ujanja kwa sababu nilikuwa na shida,nikajiandaa na kwenda kwake.Njiani niliwaza yule mwanaume ni nani na wanataka nini kwangu au ndio wauzaji wa ngozi za binadamu?mawazo ya ajabu yaliendelea kunitawala mpaka miguu ikawa mizito nikatamani kurudi ila nilipokumbuka Rita anahitaji msaada wangu nilipata nguvu na kusonga mbele.
Nilifika nikamkuta Rahel amejilaza kitandani amefunga kanga moja mapaja yapo wazi yani alikuwa anavutia sana.Akiwa amelala kwa tumbo nilimlalia kwa juu nikam'busu shavuni,kwa kutumia ulimi wangu nikawa namlamba nyuma ya shingo yake kwa staili kama nachora duara,
"ooh baby nilimis mautundu yako jaman ooh yees"
nilifanya hivyo kwa muda nikatoka apo akashuka na kuondoka mle chumbani.Nilipunguza nguo zangu nikabaki na bukta juu na vest,Haikupita muda alikuja na chupa ya red wine pamoja na glass mbili.Tulikunywa uku tunapiga stori za kawaida,mda mchache baadae ile wine ilianza kunikolea na ashki ikanipanda ajabu.Nilimfungua ile kanga na kumlaza chali kitandani akiwa kama alivyozaliwa nikamwaga wine kidogo katikati ya matiti yake.Alishtuka kidogo nilipomwagia ile wine ambapo ilianza kusambaa sehemu mbalimbali za mwili wake,taratibu nikaanza kufuata michirizi ile ya wine kwa kutumia ulimi wangu kila wine ilipopita nilikuwa nafuata kwa ulimi Rahel akawa anajinyonga nyonga pale kitandani.Nilianza ya kwenye shingo,tumboni,kwenye kitovu na kuna ingine ilitiririkia karibu na kwenye utam,nilipeleka ulimi mpaka eneo lile ambapo ilikuwa karibu sana na kwenye utamu,Rahel alichanganyikiwa nilipofika maeneo yale akawa anaongea tu kingereza
"ooh,suck.suck my p*ssy beby,suck it,oh yes,yess"
niliamia kwenye mapaja yake sasa kule ata wine haikufika nikarudi pembezoni mwa mlango wa utamu kisha nikazama utamuni apo akawa amenishika kichwa anapapasa nywele zangu kuna mda akawa anazivuta vuta yani siku hiyo nilipanga kumpa mambo ya uhakika apagawe.Vuta nikuvute mwisho alikuwa hoi ata kufumbua macho hakuweza tena na hapo nikamuweka sawa taratibu nikaanza kumpa mambo,nilimpa mambo uku nawaza matatizo yanayonikabili katika maisha yangu,Akili haikuwa pale na hali hiyo ilifanya nisifike mwisho mapema.Nilitoka kwenye dimbwi la mawazo baada ya kusikia kelele rahel amezidisha uku ananipiga piga mgongoni hali iliyoashiria alikuwa anakaribia kuvunja dafu,niliongeza kasi ambapo alinikwaruza shingoni uku anapiga kelele za utamu.
Baada ya mechi tulijilaza kitandani Rahel akanilalia kifuani na kusema
"sijui kama nitaweza kuachana na wewe na sintakusahau kamwe"
"kwa nini unasema hivyo,unataka kuniacha?"
"mmh,,basi tu yani"
aliongea kama kuna kitu alitaka kuniambia ila akawa anasita"
Sikutaka kumuhoji sana kuhusu hilo.Siku hiyo nililala nae mpaka asubuhi na dozi niliyompa nilijua atachukua wiki mbili ndio atake dozi yangu.Asubuh niliamka yeye alikuwa bado amelala nikaoga na kumuamsha kuwa nataka kuondoka.
"mpenzi nimechoka ata kupika chai nmeshindwa"
"usihofu nitakunywa barabarani"
"okey"
aliitika na kujigeuza sasa pale nikashindwa jinsi ya kuanza kumtoa pesa.Wakati naondoka nilitupa macho kwenye meza ya kujipambia(dresin table) ambapo niliona pochi ya Rahel na huwa anapenda sana kutembea nayo.Nilifungua na kukuta dola nyingi zikiwa zmejipanga,nilichomoa noti moja ya dola 500 na kuondoka nayo zingine nikaziacha.
* * *
Baada ya siku kadhaa nilienda kubadilisha ile dola ambapo kwa wakati ule nilipata laki 9 na elfu 75.Wakati narudi nyumbani uku nawaza jinsi ya kumtoa Rita pale hosptal kuna gari lilikuja na kupaki mbele yangu,nilirudi nyuma kwa kudhani ni majambazi ila nikasikia nimeitwa jina langu na kwenye lile gari akashuka Domy
"njoo twende kaka za mida"
"aah,poa aisee"niliitikia na kupanda safari ikaendelea.Domy maisha yalikuwa mazuri alikuwa na gari tayari.Aliniambia..
"aise ulinisaidia sana kwa Jude sintakusahau kaka mi chuo niliacha niliona hana faida kwangu"
"ila hongera maisha yamekunyookea"
"asante wewe vipi"
"mabaya sana nina matatizo"
"matatizo gani kaka nikusaidie kama nitaweza?"
bila kumficha nilimuadithia matatizo yangu yote.alinisikiliza kwa makini akaniambia
"daah,,pole kaka yani kama movie"
"acha tu jamaa"
"kinachokusumbua ni kwamba unataka kumtoa Rita na kumpeleka ukerewe ila Anita anabana si ndio?"
"Ndio"
"hiyo Rahisi,tutafanya kitu cha hatari na itaonekana kama ukatili kwa sasa ila faida badae"
"ukatili gani?"
"utajua we twende kwanza ivi"
aliongea tukawa tunaelekea nisipopajua pia akaniambia natakiwa kuwa mjasiri sikujua kwa nini ananiambia maneno yale na mda huo akaongeza mwendo wa gari..
Je ni kitu gani kinaendelea ungana nami ktk safari hii.... #35---->>
#NILAMBE_APA #35
0756944855
Ilipoishia....
"ukatili gani?"utajua we twende kwanza ivi" aliongea hayo tukawa tunaelekea nisipopajua,
Endelea..Aliniuliza kama nipo tayari kwa siku hiyo nikamwambia nipo tayari,safari iliishia kwenye nyumba moja nzuri sana Domy akaniambia pale ni kwa boss wake hivyo nimsubiri anaenda kuonana nae alafu atarudi.Nilimwitikia akachukua begi lililokuwepo mle ndani ya gari na kuingia nalo kwenye lile jumba ambapo baada ya nusu saa akarejea. "nimechelewa ee" "aah kawaida tu mwana" "sasa niskilize,kati ya Rita na Anita unampenda nani zaidi" "wote ila Rita zaidi kwa sababu ni demu wangu" "tumuuwe Anita tuweze kumchukua Rita" "aah,jamaa ndio umenileta uku kunieleza huo ujinga mimi sipo tayari kwa kuuwa mtu" "haha,umepanic sana natania tu,point ni ivi,unaona hiki kitambaa" "ndio kwani vipi" "kina madawa ya kulevya tutamnusisha Anita atalala na hapo tutatoka na Rita kiulaini" Nilifikiria lile wazo lake nikaona linafaa. Usiku majira ya saa tatu tulienda hospitali,mlinzi alituzuia kwani haukuwa mda wa kuona wagonjwa,tulimpanga sana na baada ya kumuonga pesa akaturuhusu na akatuambia tukiulizwa tuseme kuwa tumeleta chakula cha mgonjwa. Tulitoka apo tukaenda hotelini na kununua chakula ili ikitokea tumebanwa sana tuoneshe kile chakula.Tulirudi na kuingia mpaka sehemu ya parking na kuegesha gari pale taratibu tukaanza kupiga hatua kuelekea ndani.Docta mkuu kwa muda ule hakuwepo zaidi ya manesi wawili tu ambapo tuliwaita pembeni tukawaeleza shida yetu bila kuwaficha mwanzoni ilikuwa vigumu wao kutuelewa ila kwa kuwa mimi wananijua pale hospital na huwa naenda sana pale waliniruhusu kwa sharti ya kuwapa laki tatu.Tulivutana tukawapa laki 2 wao wakaendelea na kazi zao kutupisha sisi tufanye tunachotaka.Tulielekea kwenye kitanda cha Rita ambapo Anita alikuwa amesinzia uku ameegemeza kichwa kwenye miguu ya Rita,afya ya Anita ilikuwa imenyong'onyea sana alikuwa anatia huruma.Bila kupoteza muda Domy alitoa kile kitambaa na kumnusisha Anita na baada ya kutapa tapa akijaribu kujinasua bila mafanikio alinyamaza kimya.Kwa kuwa wodi ilikuwa ya wagonjwa mahututi hatukuwa na wasiwasi taratibu tulim'beba Rita mpaka kwenye gari na kuondoka nae.Kwa usiku ule tusingepata boti inayoenda ukerewe hivyo tulinyoosha mpaka kwenye bar moja na kupaki kisha tukafunga vioo na kuingia ndani na baada ya kula tuliagiza pombe tukaanza kunywa,Domy aliniambia "umeona kazi ilivyo rahisi ee" "tumetumia akili sana aise sio rahis" Wakati tunaendelea kunywa uku tunapiga story za apa na pale waliingia wasichana wawili wazuri sana na kuomba kukaa kwenye meza yetu na sisi bila kujiuliza tukawakaribisha.Waliagiza pombe wakaanza kunywa uku Domy anawapigisha sana stor mimi sikuwa muongeaji sana,Kadiri muda ulivyokuwa unaenda ndivyo hali ya pale ilibadilika hasa kwa Domy ambapo alianza kumshika shika mmoja wa wale wasichana pale pale mezani mda mwingi mkono wake ulikuwa ndani ya kimini cha huyo dada sijui alikuwa anafanya nini kule kwenye buyu la asali yule dada mara tule dada akaropoka "yes,ooh,,una sh..ngaap" nilishtuka kusikia anamuuliza Dommy kuwa ana shilingi ngapi apo nikajua wale akida dada na makahaba watu nnaowaogopa sana katika maisha yangu.Domy alimsikiliza kwa makini akamuuliza.. "kwani wewe unataka shilingi ngapi" "ooh,kwenye gari au chooni ni elfu 10,guest 15 kama tulienda kwako ni elfu 50" "mi nataka apa apa itawezekana?" "ndio elfu kumi" mimi na yule binti mwingine tulikuwa tunaendelea kunywa kama hatujui kinachoendelea bila aibu yule binti akavua chupi na kuweka kwenye kibegi akabaki na kimini cheupe apo ndani akawa hajavaa kitu.Taratibu alifungua zipu ya Domy tayari kutoa pipi rungu ila mimi nikawazuia kwa kuwaambia bora waende gest pale ni aibu.Domy alinisikiliza wakachukua chumba pale pale na kuingia wakaniacha mimi pale mezani na yule binti mwingine.Yule binti aliniangalia,kwa sauti ya upole akaniambia "wewe hutaki nipo tayari kukuliwaza" "hapana" "ni nzuri au nkupe ujaribu na kidole" "hapana nmesema sitaki" "nyoo,,huna dola wewe kafie mbali" aliongea yule binti na kuondoka kwa hasira,Nilimalizia pombe yangu pale nikaona hapanifai nikarudi kwenye gari nikafungua na kupumzika mle ndani na kila nilimwangalia Rita roho iliniuma sana ni kama alikuwa amekufa.Nilikaa pale usingizi ukanipitia nikaja kushtuka kumekucha na Domy bado hajaja.Niliamka haraka kwa sababu nilitaka kuwahi boti ya asubuh na mapema ila wakati nawaza nishuke nimfuate kule chumbani nilimuona anakuja,tukasalimiana na safari ikaanza uku Domy bara bara nzima alikuwa anamsifia yule kahaba mimi story hizo zilikuwa haziniingii mawazo yangu nilikuwa nawaza nifike ukerewe haraka Rita apone nimuone kwa mara nyingine.Nilifanikiwa kupata boti ingawa nilipata usumbufu kwani walikuwa wanagoma kumpakiza Rita wakidai ni marehemu.Mwisho nilifanikiwa kupata boti na safari ikaanza uku nampungia Domy yeye nilimuacha mwanzaNilivyofika mbali niliona magari kadhaa ya polisi wamekuja na kumuweka domy chini ya ulinzi na nilipoangalia.... Je ni kipi kitajili baada ya domy kuwekwa chini ya ulinzi? Na je spaner atafanikisha adhima yake aliyoipanga kwenda kumtibu ritah au atashindwa.... Ungana nami hapo kesho ktk safari yetu isiyoisha utaaaam.....ktk sehem ya #36
No comments: