Header Ads


Breaking News
recent

NILAMBE_APA SEHEMU YA 26-30

#NILAMBE_APA #26
0756944855
Ilipoishia..
niliwaza kwamba akikagua atajua ukweli ingawa nimeoga ila kwa mjanja lazima ajue sasa nikawa njia panda mda huo anaingiza mkono tayari kuitoa pipi rungu yangu aikague..
Endelea,,
"Herieth haya mambo ni ya kudhalilishana"
"sio nakudhalilisha kitendo cha yule binti kuvua nguo mbele yako kimenipa wasiwasi sana"
"hapana huwezi kunikagua bana au kisa wewe bosi wangu"
"mambo ya ubos tena yametoka wapi jamani ee"
wakati anaongea hayo bado mkono wake ulikuwa ndani ya suruali yangu ameshika mnara wangu,sasa na ile mikono yake milaini ilifanya mnara wangu upadishe netweki,Herieth aliligundua hilo gafla akawa mpole akaanza kunirembulia macho,sikutaka kumkawiza nilimnyanyua tukasimama tukatizamana kwa sekunde kadhaa,taratibu lips zetu zikakutana maandalizi yakaanza uku navua nguo yake moja baada ya nyingine mpaka tukajikuta wote tumebaki kama tulivyozaliwa uku bado tumesimama mda huo mdomo wangu upo kwenye chuchu zake ni mkono wangu mmoja upo kwenye naniliu yake nachezea kis*mi taratibu uku mkono mwingine nimemshikilia kama nimemkumbatia akawa analalamika
"ooh,mpenzi niingizie sasa mwenzako nina hamu,nataka jamani nipe,nipe,,ingiza sasa oooh aaaah ooooshshsh...!
Miguno ile ilinipa mzuka zaidi,tuliamia kitandani nikamlaza kwa tumbo nikachukua mto nikamuwekea kwa chini usawa wa kiuno hivyo akawa amelala kwa tumbo ila utamu ukawa umenyanyuka kidogo mimi nikaja kwa nyuma nikaanza kumpa mambo.Ingawa nilikuwa nimechoka ila nilijitahidi kumfanya Herieth Aridhike ili asigundue kuwa niliwagonga akina Rita.
Baada ya mechi ile Herieth aliniambia
"mpenzi asante pia nisamehe nilikuhisi vibaya"
"asante pia kwa penzi lako Herieth me siwezi kukusaliti"
"mimi nataka dada yako ajue kuwa sisi ni wapenzi"
"unataka kumwambia Bricila?"
"sio Bricila tu,ikiwezekana wazazi wako kabisa nataka unioe"
nilishtuka sana nikamwambia
"wazo zuri ila kwa sasa sipo tayari kuoa"
"sawa ila mimi nijulikane kwenu na wewe ujulikane kwetu"
Nilimvuta kifuani kwangu nikamkumbatia michezo ya apa na pale dozi ikaanza tena ila kitendo cha kusema nimuoe kilinishtua kwa kiasi fulani.
* * *
Siku ya party ilifika,Saa 9 alasiri nikiwa dukani,Herieth alinipigia na nilipopokea akaniambia
"mpenzi Bricila alikuomba umsindikize kwenye Party,naomba ufunge duka umsindikize wifi yangu"
"poa baby"
Niliitikia na kwenda nyumbani, nilijianda,nikampigi­a Bricila akaniambia mahali pa kukutana na safari ya kwenda kwenye sherehe ile ikaanza.Tulifika watu walikuwa wengi kiasi na wengine walikuwa wanaendelea kuingia na wengi walikuwa matajiri wengine ata kiswahili hawakuwa wanajua.Mimi na Bricila tulikaa kwenye meza moja ya peke yetu,alikuja dada mmoja akatuuliza tunatumia nini mimi nikaagiza Savana,Bricila akaagiza ndovu ambapo zililetwa tukaanza kunywa,Bricila aliniambia
"kaka unakunywa pombe mimi nilikuwa sijui"
"hii ni mara ya pili sikuwah kutumia kabla"
"vizuri,mimi natumiaga sana tu inachangamsha mwili"
Tuliendelea kunywa uku sauti ya mziki laini ikitawala eneo lile.Baadae Charlz alisimama akawakaribisha wageni pia kuwashukuru watu waliudhuria hafla ile na baada ya hapo sherehe ikaanza rasmi.Wakati tunaendelea kunywa,Bricila aliniambia kuwa anaenda msalani,Alivyoondoka­ tu,alikuja dada mmoja mkubwa mkubwa akaniuliza
"vipi kaka yule dada uliekuja nae ni mkeo"
"hapana ni dada yangu"
"sasa chukua hii busines kadi yangu naomba unitafute nina shida na wewe"
"sawa nitakutafuta ila mbona mimi sikujui"
"utanijua kwanza shika hii"
aliongea yule dada na kunikabidhi kiasi cha pesa kama laki moja ivi kisha akaondoka.Nilishanga­a huyu dada anataka kuongea nini na mimi pia sura yake ni kama nilishamuona mahali ila sikukumbuka ni wapi.
* * *
Usiku niliwaza sana ni wapi nilipomuona yule dada ila picha haikunijia,baada ya wiki moja nilimpigia,tuliongea­ sana ila katikati ya maongezi nikagundua ata kiswahili hakuwa anajua vizuri,hapo nikakumbuka kuwa nilimuona hosptal nilipoenda na Bricila kumsalimia Charlz siku ya kwanza na anaonekana ni mtu wa karibu sana na charlz.Aliniambia tukutane njia panda siku inayofuata kwa sababu ana maongezi na mimi,nilikubali kwani nilitaka kumjua kiundani zaidi dada yule.
Niliendelea na kazi zangu uku nasubiri siku ya kuonana na dada yule ifike na nilikuwa busy sana mda mwingi nachati nae.Siku moja Herieth alikuja pale dukani ila hakuwa na furaha,nililigundua hilo nikamuuliza
"haupo sawa leo sababu ni nini"
"siku hizi umekuwa bize sana bebi sababu nahis hunipend tena"
"hapana nipo kawaida"
"pia huniombagi mapenzi kila siku mimi ndio naanzisha ina maana huwa haunimis au mimi sio mtam kwako"
"nisamehe kwa hilo,kesho nakuja nimemis sana raha zako"
"kwa nini isiwe leo"
"leo sijiskii vizuri baby"
wakati napiga story na herieth mesej iliingia kwenye sim yangu na kabla sijaisoma alinipokonya sim,alisoma ile mesej uku amekunja sura kwa hasira na alipomaliza aliandika zile namba kwenye sim yake na kuzipiga kisha akatupia ile sim yangu mezani mda huo natetemeka skujua aliendika meseji ni nani..... USIKOSE SEHEM YA #27......









#NILAMBE_APA #27
0756944855

Ilipoishia...
kabla sijaisoma alinipokonya sim na kusoma ile mesej uku amekunja sura kwa hasira na alipomaliza aliandika zile namba kwenye sim yake na kuzipiga kisha akatupia ile sim yangu mezani mda huo natetemeka skujua aliendika meseji ni nani...
Endelea..
Nilinyanyua ile sim kuangalia alieandika meseji ambapo niligundua kuwa ni ni Rita na alikuwa ameandika maneno ya kunitisha mimi na Herieth.Herieth baada ya kupiga namba ile mara kadhaa bila kupokelewa alinigeukia akaniambia,
"si nilikwambia wale mabinti ni malaya zako,yani wananitishia mimi wananiambia wataniamisha apa mjini?"
"mimi Sielewi baby ukweli wale mabinti siwafaham"
"eeeh,nyamaza uko usijifanye unajua kuongea sana,kwa taarifa yako apa mjini siwezi kuama kwa sababu ya kugombania kikaragosi kama wewe"
"unanitukana?"
"eee kwani vipi,au unayoyafanya mazuri"
nilishindwa kuzuia Hasira zangu nikajikuta nimemnasa Herieth kibao cha uso paah!
"unanipiga mimi"
"ee wewe,huwezi kunitukana kiasi hicho ata kama wewe bosi wangu"
Niliongea hayo nikatoka nje na kurudi nyumbani bila kuongea nae chochote.Siku iliyofuata sikwenda kazini kutokana na ugomvi niliyokuwa nao na Herieth nilihisi anaringa kwa sababu ananiweka mjini yeye na kazi yake,Pia ndio ilikuwa siku ya kuonana na yule dada Rahel kama busines kad yake inavyoonesha anaitwa Rahel,hivyo ilikuwa muda mzuri kwangu,Ilifika muda tuliyopanga, nikaenda njia panda ambapo nilimkuta amepaki gari pembezoni kabisa mwa barabara ananisubiri.
"waaoh karibu,umeshine ila nimekusubiri sana"
"samahan nimechelewa kidogo"
"worry not hakuna shida"
Nilipanda kwenye gari macho yangu yakatua kwenye mapaja malaini ya Rahel yanayong'aa yenye rangi ya chocolate yani kisketi alichokuwa amekivaa sijui mfano gari likiaribika atashukaje,Mara kwa mara nilikuwa natupia macho yale mapaja kiwizi wizi kimoyo moyo nikasema kweli Mungu kaumba.
Tulitembea mwendo wa dakika 10,akakata kona na kupaki nje ya gate moja nzuri sana,gate lilifunguliwa gari likaingia mpaka ndani.Uzuri na ukubwa wa nyumba ile vilinifanya niogope kuingia ndani.
"Karibu sana ndani"
"tukae nje tu ndani kuna joto"
"noo,kuna Ac hakuna joto welcome"alinijibu na kiswahili chake ambacho hakijanyooka,akanish­ika mkono tukaingia ndani.Nilikaa kwenye sofa akaja na kukaa karibu yangu, kile kigauni kikapanda mpaka usawa wa chupi apo nikazid kupagawa ata uoga niliyokuwa nao ukatoweka.
"any drink plz like cofee,wine juice,utapenda nini"
"juice ya pasion au embe"
"embe,unamaana mango juice"
"ndio"
dada wa kazi aliitwa akatuletea juice,tukiwa tunakunywa akaniambia..
"apa ndio kwangu,lengo la kukuita apa nadhani umeshalifaham"
"hapana sijalifahamu" Nilipomjibu hivyo akanisogelea akalaza kichwa changu kwenye kifua chake kisha akaniuliza
"kwa nini jamani,unanionaje mimi mzuri au m'baya"
"we mzuri"
"kweli,nikikuambia nakupenda na nataka uwe mpenzi wangu utanijibu vipi"
nilitulia kidogo nikamjibu
"itategemea kama hujaolewa au huna mpenzi mwingine"
"sijaolewa wala sina mpenzi zaidi yako huby"
aliongea hayo uku nyuso zetu zimetizamana zipo 0distance.taratibu lips zetu zikagusana tu kaanza kupeana mabusu ya apa na pale uku napapasa yale mapaja yake kuelekea kwenye utamu,alikuwa na moto sana inaonekana alikuwa na hamu ya kitendo tulichokuwa tunataka kukifanya.nilisogeza­ chupi pembeni nikapenyeza kidole na kufanikiwa kugusa utamu wake apo sasa ndio akapagawa zaidi baada ya mimi kuongiza kidole changu kwenye utamu wake kama sentimeta 5 kwa juu nikawa nagusa gusa kitu kama sponji,Alinikumbatia­ uku anaongea maneno ambayo sikuyaelewa,vuta nikuvute tukaamia chumbani kule nikamlaza nikaja kwa juu taratibu nikaanza kumpa mambo mda huo anauma lips zake uku amefumba macho anaskilizia raha nilizokuwa nampa.Baada ya round ya kwanza tulipumzika kidogo,nilipotaka tuanze round ya pili akanikataza akiniambia
"tuishie apa,kwanza sijui nimefanya nini sikutaka tufanye leo,nimeshindwa kuzuia hisia zangu"
"kwa nini unasema hivyo Rahel"
"nilitaka tukapime kwanza we unajua nimetembea na wanaume wangapi"
"ila kweli sasa itakuwaje tumeshafanya"
"shoot moja haina shida,tuishie apa kesho tukapime tufanye kwa uhuru mimi siwezi kutumia condoms"
tulipiga stor mbili tatu tukaoga akanirudisha mpaka njia panda aliponitoa.Aliniacha­ pale nikawa nawaza maneno aliyoniambia Rahel,nilikumbuka wasichana niliowagonga na wote skutumia dhana,Jude.Herieth,R­ita na Anita pamoja na Rahel ambae sasa ndio amenifumbua macho.Mhudum wa Bar hakunipa mawazo sana kwa sababu nilimgonga bao moja ambayo huwa haina madhara.Nilitaka kwenda nyumbani ila miguu ikawa mizito gafla nikaona bora nikapime kwanza mwenyewe kabla sijaenda kupima na Rahel siku inayofuata.Niliita pikipiki nikampa maelezo anipeleke kituo chochote cha afya,Kumbe haikuwa mbali na pale ata kwa mguu ningeenda tu,nilifika nikatoa maelezo yangu nikachukuliwa damu nikaambiwa nisubiri dakika 20 mda huo picha ya wasichana wote niliowagonga ikawa inanijia,uoga ukazidi kunitawala huenda nimeukwaa na Raheli ndio namkosa hivi hivi..Je spaner atapona na na gonjwa letu? List ni ndefu ya waliokula dunduso yake... Haahahaha mambo yote yako hapa hapa....tukutane sehem ya #28...








#NILAMBE_APA #28
0756944855
ILIPOISHIA..
niliambiwa nisubiri dakika 20 mda huo picha ya wasichana wote niliowagonga ikawa inanijia,uoga ukazidi kunitawala huenda nimeukwaa na Raheli namkosa hivi hivi..
Endelea..
Nilisubiri pale uku nina mawazo tele,baada ya dakika kadhaa niliitwa kwenda kuchukua majibu yangu,Nilienda uku natetemeka na tumbo likawa kama linanikata kwa uoga;
"kijana mbona unatetemeka sana mpaka jasho limekutoka au unaumwa" lilikuwa swal la kwanza daktari kuniuliza baada ya kuingia nami nikamjibu.
"kawaida tu docta"
Baada ya maelezo pamoja na ushauri nasaha ambayo haikuniingia akilini kutokana na uoga aliniambia
"majibu yako sio mabaya saana chukua angalia"Aliongea na kunikabidhi ile karatasi yenye majibu yangu.Baada ya kusoma nilifurahi sana kwani nilikuwa mzima,nilionesha furah yangu waziwazi mpaka Daktari akashangaa,neno moja tu aliniambia kuwa nipunguze uasherati.
Nilirudi nyumbani uku ninasubiri kesho yake ifike mimi na Rahel tukapime kuhakikisha kuwa na yeye ni mzima ila skutaka ajue kuwa nilishapima kabla.
Usiku sikulala nilitamani pakuche haraka nionane na Rahel na niliapa kama Rahel ni mzima basi naachana na wasichana wote nabaki na yeye peke ake kwani mpaka wakati huo nilitokea kuvutiwa nae sana ingawa alionekana kunizidi umri kidogo.
Kesho yake tulienda hosptali nyingine tukapima ambapo wote tulikuwa wazima,Rahel anikumbatia kwa nguvu pale pale mbele ya dakrari akanipa busu nzito kwa staili ya denda kitu ambacho ata daktari alishangaa.Alikuwa na furaha sana Rahel.Baada ya kutoka pale tulielekea kwenye hotel moja maarufu sana jijini mwanza.Tulishuka tukaingia mapokezi Rahel akaongea na mtu wa mapokezi,waliongea kiingereza ila nikaelewa kuwa walikuwa wanaongea kuhusu chumba,Alilipa akapewa funguo tukapanda lift iliyotupandisha mpaka gorofa ya tisa.Tulitoka na kuanza kutembea mpaka chumba namba 801,Rahel alifungua tukaingia.Chumba kilikuwa kizuri sana ila hakikuwa na kitanda,baada ya kuingia Rahel alibonyeza moja ya swichi ukutani kitanda kikatokea ukutani nilishtuka kidogo nikimbie nilijua ni uchawi ila Rahel akanipa maelekezo yaliyonitoa ushamba.Tulivua nguo tukajifunga taulo,kisha tukaelekea bafuni,tuliogeshana uku tunafurah sana Rahel alinichezea mpaka nikawa hoi,Tulitoka na kurudi kitandani,maandalizi­ ya kupeana Raha yakaendelea na safari hii rahel alionekana kuchangamka sana tofauti na jana yake.
Tulipeana mambo na Raha za ukweli mimi nilihisi tofauti sana Rahel alikuwa mtamu isivyo kawaida labda kwa sababu alikuwa tofauti na wasichana niliowahi kutembea nao yeye alikuwa mnene kidogo na weusi wa kuteleza.Baada ya mechi tulikuwa hoi nimeegemeza kichwa changu kifuani kwake uku namsifia kwa jinsi alivyo mzuri.Pia alinisifia kuwa ame-enjoy game langu.Wakati tunaendelea na stori za apa na pale ili tukaoge kila mtu aende kwao mara sim yangu iliita nami nikaipokea baada ya kuona namba za herieth,nilipopokea ata bila salam akaniambia kuwa nikamsaidie yeye anakufa hana ndugu apa mjini,nilishtuka kidogo kwa sababu aliongea kwa msisitizo uku analia kwa uchungu tena ilionekana kama kuna mtu au kitu kinamuumiza kwa wakati ule.Alikata sim nikamuambia Rahel,
"mpenzi boss wangu ana matatizo sijui kapatwa na nini ngoja nimuwah"
"ooh,am sory baby ngoja nikuwahishe haraka ukamuangalie"
tulivaa nguo bila kuoga,akanipeleka mpaka dukani kwa Herieth akanikabidh kiasi cha pesa ambazo ata sikuziesabu nikaziweka mfukoni haraka nikaanza kupiga hatua kuelekea nyumbani kwa Herieth.Nilifika na kumkuta amelala kitandani anagala gala uku ameshika sehem zake za siri.Aliponiona alitaka kuamka anifuate ila akashindwa kwani alipojaribu alirudi kitandani uku analia kwa maumivu makali na mikono bado ameshikilia kwenye kikojoleo chake.Nilimsogelea,k­abla ya kumuuliza chochote aliniambia
"nakufa mimi,nakufa naomba nisaidie"
"tatizo nini Herieth"
"uku panauma sana,pia panachoma choma tatizo limeanza mchana nikiwa kazini nikalazimikia kurud..mamaa,nisaidi­ee"
kabla hajamalizia alipiga kelele ya uchungu,ilionekana anateseka sana.Nilimvua nguo yake ya ndani ,kwa sababu alikuwa mpenzi wangu na hakuna nisichokijua kwake nilimkagua na kugundua kuwa imevimba kwa kiasi fulani tofauti na nilivyoiacha mwanzo.hakukuwa na muda wa kupoteza haraka nikatafuta gari na kumuwahisha Hospital mda huo giza limeanza kuingia,Kwenye gari alikuwa analia kama mtoto uku anagumia maumivu.
Tulifika hosptal akachukuliwa vipimo na kupewa dawa za kutuliza maumivu akapelekwa wodini apumzike wakati anasubiria majibu.Nikiwa pale kitandani alipokuwa amelala uku nam'bembeleza daktari alirudi na kuniuliza,
"huyu dada ni nani wako"
"mpenzi wangu"
"tumempima damu hana ugonjwa wowote,mkojo pia hana ugonjwa wowote ila ana mimba ya wiki 8"
"mimba? Ya nani?"
"we kijana umechanganyikiwa unaniuliza mimba ni ya nani kwani mgodi nani anachimbaga si umesema ni mpenzi wako?"
Nilinyamaza uku najiuliza kichwan hii mimba itakuwa yangu au la!,Pia nikawa najiuliza kitu gani kimemkuta Herieth,pale pale kuna wazo likanijia..
Itaendelea.





















#NILAMBE_APA #29
Ilipoishia..
uku najiuliza ile mimba itakuwa yangu au la!,Pia nikawa najiuliza kitu gani kimemkuta Herieth,pale pale kuna wazo likanijia..
Endelea..
Kuwa Herieth apigwe sindano ya usingizi alale kwa sababu alikuwa anateseka sana mpaka nikawa namuonea huruma.Nilimfuata daktari nikampa wazo hilo akaniambia ni wazo nzuri na mda huo huo akachua sindano na kuweka dawa,kisha akaenda kwa Herieth uku na mimi namfuata kwa nyuma.Alishika mkono wa Herieth akawa anatafuta mshipa ila cha ajabu Herieth akatoa mkono wake kitendo kilichomaanisha hakuwa tayari kuchomwa sindano.Nilim'bembel­eza sana akubali ila akakataa kata kata,
"sitaki sindano roho yangu imekataa sitaki"
"kubali upunguze maumivu siunaona u.."
"eee nmesema sitaki alafu Sparner nataka kuongea na wewe dokta naomba utupishe kidogo"
Dokta alitii akaondoka na kuniacha pale kitandani mimi na Herieth,Herieth kwa huzuni sana akaniambia,,
"mimi nitakufa,maumivu sasa yanapanda mpaka tumboni..siponi mimi ila huu ugonjwa sio wa kawaida"
"unanitisha sana kwa nini ufe na una maana gani kusema huu ugonjwa sio wa kawaida"
"nimelogwa nahis ni kama mtu ananikata kata na wembe,cha kufanya naomba nipeleke kwetu ukerewe kama ni kufa nikafie kwetu ila nikifanikiwa kufika nikiwa hai basi sintakufa"
Aliongea hayo kwa shida uku anagumia kwa maumivu machozi uakimtoka,sikuuliza mambo ya mimba ingawa nilikuwa na hamu sana ya kujua mimba aliyonayo ni ya nani.Nilikaa nae pale hosptali mpaka saa 4 usiku ambapo aliomba arudi nyumbani kwani pale hakuwa anataka msaada wowote sindano hataki pia dawa tumejaribu kumpa ata ya usingizi badala ya sindano nayo pia akakataa.Nilirudi nae mpaka nyumbani kwake.Saa 6 usiku maumivu yale yalitoweka ila akawa kama kichaa kwani alikuwa anaongea peke yake akisema
"ee watasubiri sana silali,silali usingizi mimi nimesema silali"
alikuwa anasema hivyo mara kwa mara,nilimuuliza anaongea na nani ila hakuniambia akawa ananishangaa utadhani jambo nililomuuliza ni geni sana.Nilipitiwa na usingizi nikaja kushtuka saa 10 nikakuta bado Yupo macho hajalala,nilipoamka kitu cha kwanza akaniambia,
"nipeleke kwetu kama unataka niendelee kuishi,ata kama hunipendi kumbuka nina mimba yako"
"nakupenda sana,uliniudhi kunitukana ila nimekusamehe"
niliongea kwa adabu sana baada ya kusikia kuwa Herieth ana mimba yangu,mda huo huo tuliamka na kuoga uku namsaidia Herieth kutembea kwani ata nguvu zlimwishia,saa moja kasoro tayari tulikuwa kwenye boti kuelekea ukerewe,nilimuuliza Herieth nitoe jibu gani nikiulizwa mimi ni nani wake akaniambia nisihofu hilo swala atalimaliza mwenyewe cha muhimu apone kwanza,alikuwa anaongea kwa shida sana mpaka nikaogopa na pale pale Rita alinipigia,nilipopok­ea akaniambia
"halow pole tumeskia umepata msiba"
"msiba wa nani"
"he!,hamna msiba wowote wa mtu wako wa karibu,basi poa tumesikia vibaya"
alikata sim nikakosa amani kabisa ila sikumwambia Herieth chochote.
* * *
Tulifika ukerewe jioni,tukachukua piki piki iliyotupeleka mpaka kwenye kijiji flani ambapo sikujua jina kijiji kile na watu wanaoishi kijijini pale inaonekana hali zao ni duni kutokana na nyumba wanazoishi za nyasi na miti.Safari yetu iliishia kwenye nyumba moja ndogo sana ya nyasi iliyobomoka bomoka ni kama hakukuwa na mtu anaeishi mule.Herieth aligonga bati lililokuwa limeegeshwa mlangoni kama mlango sauti kutoka ndani ikaitika apo nikajua kuna mtu mle ndani.kwa sauti ya chini nilimuuliza Herieth kama pale ndio kwao akaniambia pale ni kwa babu yake.Haikupita muda akatoka mzee mmoja na mkononi ameshikilia taa ya chemli na kutukaribisha ila alipommulika Herieth alimzuia asiingie ndani akisema
"mjukuu wangu usiingie ndani,walitaka kukuuwa kwa sababu ya mapenzi"
"ndio babu kidogo nife"alijibu Herieth.Mzee aliingia ndani akatoka na dawa kama unga na kumwagia Herieth,akaturuhusu tukaingia ndani.Walianza kuongea kikabila mi nikawa sisikii nikawa nashangaa mle ndani palikuwa panatisha kuna lisanamu likubwa la chatu limetoka kwenye chungu kikubwa sana kilichokuwemo mle ndani na kupanda ukutani lilikuwa linanitisha sana,yule mzee akatoa dawa akampaka Herieth kiunoni kwenye alama za chale alizokuwa nazo ambazo nazionaga ila nikawa najua ni alama tu za kawaida.Herieth aligeukia akaniambia
"Rita ndio amenifanyia hivi na mtego ni kwamba nikilala nifie usingizini ila sikulala ndio maana sijafa na jana kama nilikuwa naongea mwenyewe basi nilikuwa naongea na babu yangu huyu alinisaidia kwa sababu kabla sijaenda mjini nilimuaga sasa wanajua nimekufa na watakoma"
Nilimsikiliza Herieth kwa makini,uku siamini kuwa Rita anaweza kuwa na roho ya kikatili kiasi kile,wakati namsikiliza Rita niliona ile sanam ya chatu inatingishika,nilipo­angalia vizuri na kugundua kuwa haikuwa sanam ni chatu la ukweli tena mkubwa sana.Pale pale niliishiwa nguvu,macho yakaanza kuona giza,nikaanguka chini na kupoteza fahamu.Nilikuja kuzinduka nipo nje napigwa na baridi ya ajabu pembeni alikuwepo Herieth,alinipa pole akaniambia kitu cha ajabu sana kuhusu Rita...----->>Itaendelea
Kwa leo naombeni niishie hapa jaman.... USIKOSE SEHEM YA #30























#NILAMBE_APA #30

ILIPOISHIA...
Nilikuja kuzinduka nipo nje napigwa na baridi ya ajabu pembeni alikuwepo Herieth,alinipa pole akaniambia kitu cha ajabu sana kuhusu Rita..
Endelea..
Aliniambia tukifika mjini kitu cha kwanza nimtafute Rita nifanye nae mapenzi,sikujua kwa nini aliniambia hivyo,niliangalia pale nilipo ni wapi nikagundua ni eneo la pale pale kwa babu yake taswira ya yule chatu ikanijia ubaridi wa uoga unaniingia mwilini,Herieth kwa sauti ya kunong'ona akanisisitizia
"umesikia kitu nilichokuambia?"
"mimi naogopa"
"unaogopa kufanya mapenzi?"
"si nitakuwa nimekusaliti"
"haina shida nimekuruhusu anaonekana anakupenda mpaka anataka kuniua ni hatari,apa amefika na atakoma"
"atakoma tena,sasa mbona unaniambia nifanye nae mapenzi wakati una hasira nae?"
Alishindwa kujibu swali lile kichwani nikajua lazima kuna kitu sio bure,Aliniambia tuingie ndani tukalale nikakataa,akaniletea­ shuka nikajifunika pale pake chini ya mti na yeye hakupata usingizi mara kwa mara alikuwa anakuja kuniangalia.Asubuh na mapema tulimuaga babu vizuri akatupa baraka tufike salama mjini ila akaniambia nisiwe mwoga na mambo ya kiasili.Nilimwitikia­ na safari ya kurudi mjini ikaanza,tulipofika ukerewe mjini tukaingia hotelini kupooza njaa tuliyokuwa tunahisi,nilikula kama nafukuzwa kutokana na njaa kali ukizingatia usiku wa jana yake sikuwa nimetia chochote mdomoni,baada ya hapo safari ikaendelea uku Herieth ananisisitiza kuwa lazima nifanye mapenzi na Rita
"usikatae mpenzi unajua usipofanya hivyo lile tatizo litanirudia tena ila ukifanya hivyo babu ameniambia ataakijaribu tena hataweza"
nilimsikiliza ila haikuniingia sasa ili kumridhisha nikakubali.
Tulifika mjini tukiwa hoi kwa uchovu wa safari,tukaagana kila mtu akaenda kwake.Nilifika nyumbani na kujitupa kitandani nikachomeka simu kwenye chaji na kutulia kitandani uku nawaza hawa wanawake wamejiingiza kwenye mambo ya uchawi waliniumiza sana kichwa changu sikujua nifanye nini.
* * *
Rahel aliniita mahali ambapo sikupajua vizuri ni wapi,nilienda nikiwa na furaha ya ajabu kwani siku mbili tatu hatukuwa tumeonana,Nilifika nikamkuta amekaa peke yake eneo flani ambapo hakukuwa na mtu,kwa furaha nilimfuata ili nimkumbatie ila hakuonesha furaha na wakati nimemkumbatia pembeni nilimuona Rita amelala analia uku ananiomba nimuokoe,Nilishtuka nikamuuliza Rahel kuwa Rita amefikaje pale? Rahel badala ya kunijibu alichomoa bastola akaninyooshea akaniambia
"kuhusu amefikaje apa mimi hainihusu,nilichotak­a kwako nimekipata sasa naomba usinifuatilie tena na usinijue la sivyo nitakuuwa Sparner boy"
"mbona sielewewi Rahel mpenzi kwangu ulitaka nini?"
"hilo sio swali la kuniuliza kwanza naona hunijui vizuri.."
kabla hajamalizia kuongea alifyatua risasi iliyonikosa nikaanza kukimbia uku Rahel ananifukuza sambamba na kunifyatulia Risasi zilizokuwa zinanikosa.Nikiwa nakimbia nilimuona Herieth amesimama mahali ananicheka sana,nilimuomba anisaidie ila akawa ananicheka tu ni kama alikuwa anafurahia kilichokuwa kinanitokea.Rahel alinikamata shati kwa nyuma akaniwekea bastola kichwani,bila huruma akafyatua risasi nikalia mamaa...na apo nikastuka nipo kitandani na simu yangu iliyokuwa kwenye chaji ilikuwa inaita,Nilitetemeka sana sikuamini ile ni ndoto.sim iliendelea kuita wala sikupokea nilikuwa nahema sana mwili mzima nimeloa jasho.Nilitamani nipate tafsiri ya ndoto ile mbaya huenda ina maana.Baada ya simu kukata na kupigwa tena niliangalia nikakuta Rahel ndio anapiga,
"ha..hallow Rahel"
"vipi mpenzi wangu hali ya boss wako"
"nzuri tu anaendelea vizuri"
"unaongea kwa woga sana upo salama"
"nipo salama nilikuwa nafanya mazoezi siunajua asubuhi mazoezi lazima"
"ivi una kichaa,saa tatu usiku mazoezi gani alafu unaniambia sasa ivi ni asubuhi"
"aah..sasa ivi ni usiku kumbe samahani"
"f*ck you"
Alitukana akakata simu,mimi kwa mawazo yangu nilijua ni asubuh kwani ndio nilikuwa nimetoka usingizini.Nilikaa kitandani uku natafakari kuhusu ile ndoto,niliwaza mda mrefu sana ila sikupata jibu.Nilianza kupasua mayai kadhaa nikaange nile kupooza njaa,Mara mlango wangu uligongwa kwa fujo,
"nani wewe"
"mpenzi wako Rahel"
nilifungua uku najiuliza kwangu amepafaham vipi.Aliingia akawa anaangaza macho kama atamuona mtu mwingine, aliniuliza nipo na nani nikamuambia nipo peke yangu,nikamueleza kuwa nilikuwa nimelala pia kuna ndoto niliota mbaya nahisi imenichanganya ndio maana nikamuambia ni asubuh wakati ni usiku.Alinipa pole akaendelea kuandaa mayai mimi nikaenda bafuni kupunguza uchovu wa safari. Nilirudi tukala uku tunapiga story,baada ya kuhakikisha nimeshiba akaniaga na kuondoka uku ananiomba msamaha kwa kunihisi vibaya.
Siku zilienda,Herieth alizidi kunisistiza nifanye mapenzi na Rita,nilikuwa nakataa ila mwisho akaniambia nichague kati ya yeye na Rita namtaka nani,nilimchagua yeye kwa sababu alikuwa na mimba yangu,akaniambia basi kama ni ivyo nikafanye mapenzi na Rita ndio tuelewane nami nikakubali kwa shingo upande bila kujua lengo lake hasa ni nini...
HAYA SASA MAMBO SIO MAMBO MAPENZ YAMEGEUKA SHUBIRI.... Je nini dhamira ya HERIETH kwa SPANER BOY.... Jibu utalipata kesho asubuhi hapa hapa ktk sehem ya #31

No comments:

Lazaro Masika. Powered by Blogger.