ImageGETTY IMAGESImageOscar Pistorius alivua miguu yake bandia na kuguchuia katika mahakama wakati wa kusikizwa kwa kesi yake nchini Afrika KusiniImageWANAMAJI WA ITALIImageBoti iliokuwa ikizama katika bahari ya Mediterenean kati ya Itali na Libya yapigwa picha .Kikosi cha wanamaji wa Italy kiliwaokoa zaidi ya wahamiaji 560.ImageAPImageMiezi michache baadaye mnamo mwezi Agosti boti ndo ziliokolewa mojawapo ikiwa mtu na mwanawe wa miaka mitanoImageAFPImageWaandamanaji nchini Zimbabwe wazichoma noti za taifa hilo zilizozinduliwa ili kukabiliana na upungufu wa dola za Marekani nchini humoImageAPImageMnamo mwezo Oktoba wanawake 21 na wasichana waliunganishwa tena na familia zao .Kampeni ya bringbackourgirls iliwafanya kuwa maarufu dunianiImageGETTY IMAGESImageWachezaji wa lemau wa voliboli nchini Rwanda walisimama na kuimba nyimbo ya taifa lao katika mechi dhidi ya ChinaImageAFPImageSudan Kusini ni maarufu sana kwa mchezo wa miereka na mnamo mwezi Aprili mashindano ya Miereka yalifanyika kwa mara ya kwanza tangu vita vya wenyewe kwa wenyeweImageAFPImageWaandamanji walioda kuwepo kwa mabadiliko ya sheria za uchaguzi wakikabiliana na maafisa wa polisi katika eneo la Kibera nchini Kenya.ImageALAMYImageMafuriko nchini Somalia yalisababisha familia nyingi kuhama katika majumba yaoImageEPAImageMnamo mwezi Oktoba mwanajeshi wa Sudan Kusini aonekana akipiga tarumbeta ya pembe ya ngombe katika operesheni ya jeshiImageEPAImageRais wa Zimbabwe Robert Mugabe asherehekea mwaka wa 92 tangu azaliwe mnamo mwezi FebruariImageREUTERSImageKatika maandamano ya kupiga ukosefu wa ajira nchini Tunisia ,mtu ambaye hana kazi alijishona mdomo wake ikiwa katika kile kiichotajwa kuwa mgomo wa kutokula mnamo mwezi JanuariImageAFPImageMashabiki wakimuomboleza mwana soka wa Nigeria Stephen Keshi nchini Togo mnamo mwezi JuniImageEPAImageNchini Afrika Kusini wanafunzi walifanya mgomo dhidi ya karo ya kiwango cha juuImageAFPImageKatika harakati za kukabiliana na ulemavu wa ngozi ,shindano la mfalme na malkia wa Albino liliandaliwa mjini Nairobi mwezi Oktoba.
No comments: