Kocha Jose Mourinho ameonekana akisimamia kazi ya kuhama katika eneo la West London jijini London hii ni baada ya kocha Louis van Gaal kutupiwa virago vyake baada tu ya kutwaa kombe la FA.
Mourinho ni wazi sasa inaonekana hakuna ubishi kuwa anahamia jijini Manchester kwa ajili ya kuanza kazi mpya.
Picha: Jose Mourinho aanza kuhamisha mizigo yake
Reviewed by Unknown
on
Thursday, May 26, 2016
Rating: 5
No comments: