Header Ads


Breaking News
recent

BREAKING NEWS: Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia


Inadaiwa amefariki dunia akiwa nchini India alikokuwa kwa matibabu.

Aidha, inasemekana tangu siku ile wamtumbue jipu ktk Daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge) alikuwa shocked sana alikuwa kalazwa India akipatiwa matibabu.

Source; muungwana blog

No comments:

Lazaro Masika. Powered by Blogger.