PICHAZ: DIAMOND PLATINUMZ ALIVYOKUTANA NA PETER WA P-SQUARE NA FALLY IPUPA HUKO NIGERIA!
Unafuatilia habari za burudani Tanzania, basi utakumbuka swali waliloulizwa P Square walivyokuja Tanzania kuhusu kumfahamu Diamond. Jibu lao lilitengeneza drama kwa mashabiki wa Platnumz. Diamond kwa sasa yupo Nigeria kwa ajili ya tuzo za Glo-CAf. Amekutana na mastaa tofauti na miongoni mwao ni Peter wa P Square na Fally Ipupa.
Reviewed by Unknown
on
Friday, January 09, 2015
Rating: 5
No comments: