Header Ads


Breaking News
recent

Ameendelea kushikilia rekodi kubwa 2015, ameshinda Tuzo ya CAF kwa mara ya nne!


Yaya IIShughuli ilikuwa jana Eko Hotel & Suites, Lagos Nigeria.
Ushindani ulikuwa mkubwa, alikuwa akipambana na golikipa Vincent Enyeama na mshambuliaji wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang hatimaye akatangazwa mshindi wa mchezaji bora wa Shirikisho la Soka Afrika, CAF.
Ushindi huo ulienda kwa kiungo wa Ivory Coast na Manchester City, Yaya Toure, hii ikiwa ni mara yake ya nne mfululizo kushinda tuzo hiyo.
Wakati akipokea Tuzo hiyo Yaya Toure, alionekana akiwa mwenye furaha kubwa na kuwashukuru mashabiki wake na waandaaji wa tuzo hizo, CAF.
Yaya ameshinda tuzo hiyo lakini nafasi kubwa ya ushindi huo alikuwa akipewa golikipa wa Nigeria, Vincent Enyeama.
yaya-toure-can2015-caf-maroc-linfodrome

No comments:

Lazaro Masika. Powered by Blogger.