Ndondo CUP; GOMZ united wametinga fainali baada ya kuitandika KIBADA One (2-0)
Ni Shilawadu vs Clouds 360 katika fainali ya Ndondo Cup
Ni Misosi vs Goms (Clouds 360 vs Shilawadu) katika fainali ya aina yake ya michuano ya Ndondo Cup 2017.
Leo August 10, 2017 umepigwa nusu fainali ya pili ya Ndondo Cup kati ya Kibada One dhidi ya Goms United mchezo ambao umeshuhudia Goms ikitinga fainali baada ya kupata ushindi wa 2-0 walioupata kwa kuwachapa Kibada One.
Goms watacheza na Misosi katika fainali ya msimu wa nne wa michuano ya Ndondo tangu ilipoanzishwa kwa mara ya kwanza.

No comments: