Header Ads


Breaking News
recent

Mabosi watano wa TANESCO wafikishwa mahakamani kwa kuisababishia Serikali hasara

TAKUKURU imewafikisha mahakamani mabosi watano wa TANESCO kwa kuisababishia Serikali hasara ya Shilingi Milioni 275. .
Vigogo hao wa zamani waliofikishwa Mahakamani ni aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Lusekelo Kasanga na Mkurugenzi wa Fedha.
Wengine ni Robert Shemhilu, Harun Mattambo, Godson Makia.
...
Pamoja nao ni Ofisa Ugavi, msambazaji kutoka kampuni ya M/S Young Dong Electronic Co. Ltd Martin Simba na Mwanasheria wao.

Image may contain: skyscraper, sky and outdoor

No comments:

Lazaro Masika. Powered by Blogger.