Header Ads


Breaking News
recent

Kuhusu waliouwawa kwenye vurugu za uchaguzi Kenya



Kwa mujibu wa AzamTV, watu wawili ambao inaaminika ni Wafuasi wa upinzani wameuwawa katika mikwaruzano kati ya Polisi na Wafuasi wa upinzani Nairobi, ni baada ya Wafuasi hao kuonekana wakipinga kile wanachodai ni wizi na udanganyifu wa kura.
Vilevile iliripotiwa kwamba huko Kisumu kulitokea vurugu ambapo Wafuasi wa Raila Odinga waliimba nyimbo za ‘kama Raila sio Rais hatuwezi kuwa na amani’


No comments:

Lazaro Masika. Powered by Blogger.