Header Ads


Breaking News
recent

Pichaz: Japan Yazindua Treni Inayokimbia kwa Kasi Zaidi Duniani


TOKYO: Serikali ya Japan imezindua gari moshi (maglev) ambalo linakimbia kwa kasi zaidi kuliko garimoshi yoyote duniani.

Garimoshi hilo lina uwezo wa kwenda Maili 374 sawa na Kilometa 603 kwa saa.
Hayo ni mafanikio makubwa kwenye nyanja ya teknolojia ya usafirishaji nchini humo jambo ambalo serikali ya nchi hiyo imesema kuwa litasaidia kurahisisha usafiri wakati wa mashindano ya Olimpiki yatakayofanyika nchini Japan mwaka 2020.
cwuxu2yxuaauqci_002cwuxu2zweaaihil_003cwuxu27xuaex-78
japanjapan-maglev-train-spc-00010918-exlarge-169

No comments:

Lazaro Masika. Powered by Blogger.