PICHA 10: Ijue top 10 ya wacheza mieleka matajiri zaidi duniani
Mtu wa nguvu najua utakua umeshajua orodha nyingi ya matajiri wa michezo ambayo nimeshawahi kukuletea hapa ila leo September 26 2016 nakuletea list ya mastar ya mchezo wa mieleka.
Wengi tumekuwa tukiufuatilia mchezo huu ambao umekuwa maarufu zaidi kutokana na aina ya uchezaji wake na mwisho wa siku mchezo huu umekuwa ukiwaingizia mkwanja mrefu. Leo nakusogezea hii list ya wachezaji mieleka 10 matajiri zaidi duniani.
Na hii ndio list ya wacheza mieleka 10 matajiri Duniani
No comments: