MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA.
Kabla ya tendo hili kufanyika kuna umuhimu wa wapenzi kuhakikisha mnajiandaa kwa uhakika ili wote kwa pamoja muweze kuhakikisha mnajiandaa kwa uhakika ili wote kwa pamoja muweze kulifaidi vizuri.
Sio suala la kukurupuka na kuvamiana tu bila ya maandalizi mazuri na ya kutosha, hata wanyama wasio na akili hujiandaa. Kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume na mwanamke linapokuja suala la tendo hili au kufanya mapenzi
Tendo la ndoa ni kitu kinachofanyika kwa ridhaa kati ya wapenzi wawili kinachofanyika ni kubusiana, kugusana, na kuchezeana hapa na pale hadi mtakapokuwa tayari kwa ajili ya tendo hilo.
Mnatakiwa muungane kihisia, kiroho, na kimwili pia kwa muda wa kutosha kabla ya tendo lenyewe, mambo hayo ni msingi na muhimu kwa ajili ya kuhakikisha unapata kile kinacho kuridhisha, pia ni sanaa ya kuelezea upendo wa kukaribishana kwa ajili ya tendo hilo.

Mwanaume anatakiwa kuwa makini kwani hapa panamuhusu yeye zaidi anatakiwa kufanya maandalizi hayo kwa ajili ya mpenzi wake, kwani wanawake huchelewa kuwa tayari kwa ajili ya tendo hilo.
Mwanaume asipokuwa makini hujikuta akikurupuka na kumvamia mwezake kabla hata hajasisimka matokeo kila mmoja anataka kufaidi tendo hilo na siku zote wanaume ndio wamekuwa wakijinufaisha zaidi kuliko wanawake, ndio maana maandalizi katika tendo hili ni muhimu sana hususani katika kumuandaa mwanamke.

Wakati wa maandalizi haya humfanya mpenzi wako kupata hisia za upendo na ukaribu kimahaba, atajiona mtu maalum sana kwako kwa kipindi hicho, pia ni mojawapo ya kutafakari itakayokufanya usahau mambo mengine yote na kufikiria muda huo tu, husaidia katika kuondoa msongo wa mawazo na kukufanya akili yako yote ikafikiria kwenye mapenzi moja kwa moja na yule umpendaye
Wanaume wana mzunguko mfupi sana kuamshwa kimapenzi kuliko wanawake, ingawa pia uwezo wa kusisimka na kuamshwa kimapenzi unategemeana sna kama vile umri, kwani kadri unavyozidi kuzeeka na homoni nazo hupungua hivyo kutumia muda zaidi kupata mshawasha, afya kama unaumwa au ni dhaifu utahitaji muda zaidi.
Kutokana na tofauti hizo husababisha baadhi ya wanandoa kujisikia vibaya na kutokupendelea kabisa tendo hili hasa kwa wanawake.
Nivizuri wote kushirikiana katika tendo hili muweze kufurahia na kusiwe na mawazo kwa yoyote kwani kwa mwanaume kumaliza haja zake mapema huku mwanamke akiwa bado mnaweza kudhani mmoja wenu ana matatizo ambapo mwanamke anaweza kujihisi vibaya kwa kushindwa kusisimka haraka na anaweza kujiona mwenye kasoro mwilini mwaake.

Hii tofauti ya kusisimka katika tendo la ndoa wakati mwingine husababisha kuathiri maisha katika ndoa.
Je inachukua muda gani mwanume kufika mshindo?
kwa kawaida mwanaume anachukua kama dakika tatu tu kuweza kufika kileleni tangu asisimke kimapenzi, wakati mwanamke humchukua zaidi ya dakika 15, hii ina maana kwamba bila maandalizi ya kutosha mwanaume huweza kumaliza wakati mwanamke hajaanza kusisimka muda ambao mwanamke hufika kileleni mwanaume anakuwa tayari kashamaliza kazi siku nyingi.
Wataalamu wa mambo ya mahusiano wanasema kuwa ni asilimia ndogo sana ya wanawake ambao hufika kileleni na tatizo kubwa ni kutokuandaliwa vizuri na wapenzi wao siri pekee ya mwanamke kufika kileleni ni maandalizi mazuri kutoka kwa mwenza wake.
No comments: