Header Ads


Breaking News
recent

MWANZO MZURI KWA RYAN GIGGS: MAN U 4-NORWICH 0, MASHABIKI WAMTAKA AENDELEE KUINGOZA MAN U.

https://www.facebook.com/theclicktz

Kete ya kwanza ya Ryan Giggs kama meneja wa muda wa Manchester United imeanza vyema usiku wa Jumamosi kwa mashetani wekunda kuichapa kichapo cha mwezi Norwich.

Wayne Rooney na Juan Mata wamefunga magoli mawili kila mmoja kwenye mechi hiyo ya Old Trafford.

Giggs aliteuliwa kuwa kocha wa muda wa timu hiyo baada ya David Moyes, kutimuliwa

No comments:

Lazaro Masika. Powered by Blogger.