JINSI MAFURIKO YANAVYOLITESA JIJI LA DAR..ANGALIA PICHA
Mburahati na Mayfair leo asubuhi |
Haya ni maeneo ya jiji la Dar es Salaam yaliyoathirika na mvua inayoendelea kunyesha na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi hasa wanaoishi bondeni au kwenye mkondo wa maji mfano mito
No comments: