Header Ads


Breaking News
recent
280KAJALA_WEMA
Kajala ameiambia Bongo5 kuwa tangu uzushi huo uanze, bado hajakaa kuzungumza na Wema.
“Mimi ningependa hawa Team Wewa ndio wangezungumza na ndio wameanzisha. Sina tatizo na Wema, kwahiyo hao ndio wanajua mimi sijui. Hata bwana wake huyo simjui,mimi aliyeanzisha simjui ila kama unakumbuka nilianza kuzushiwa ya mume wa Shamim leo wanasema mume wa Wema labda ndio vinawafurahisha. Yaani mimi sijui chochote,sijaonana na Wema. Wema alikuwa busy anashoot movie yake na mimi nilikuwa mimesafiri nimeenda kwa bibi yangu labda sasa hivi aliporudi ndipo nitamcheki tuzungumze,” amesema Kajala.

No comments:

Lazaro Masika. Powered by Blogger.