Header Ads


Breaking News
recent

CHONDE CHONDE TZ TUILINDE AMANI TULIYONAYO...HEBU TAZAMA PICHA MBALI MBALI YA MAUWAJI YALIYOWAHI KUTOKEA HUKO SUDANI. TUWAKATAE WANASIASA WANAOPENDA KUTUGAWA KWA ITIKATI ZAO.

http://www.ufukunyuku.blogspot.com/ 

Umoja wa Mataifa unasema kuwa vikosi vinavyoipinga serikali nchini Sudan Kusini viliwaua mamia ya watu kwa sababu ya kabila lao wakati vilipouteka mji wa Bentiu wiki jana.Kwa mujibu wa taarifa ya shirika hilo, watu hao walilengwa wakiwa katika maeneo salama walikokuwa wanahifadhiwa kama vile msikitini, makanisani na hospitalini.Umoja huo umesema kuwa watangazji katika baadhi ya vituo vya redio walitumia lugha ya chuki na uchochezi na kuwataka watu wa kabila fulani kuondoka mjini humo huku wakiwashauri wanaume kuwabaka wanawake.




No comments:

Lazaro Masika. Powered by Blogger.