Header Ads

Breaking News
recent

AJALI MBAYA ENEO LA LUGALO JIJINI DAR

AJALI hii imetokea leo asubuhi baada ya magari kusimamishwa ghafla eneo la Lugalo, Makongo ili kuruhusu wanafunzi wavuke ndipo lori liliposhindwa kusimama na kuparamia kingo za barabarani kisha kuiangukia gari dogo aina ya Toyota Cresta 'GX 100'
 Hii ni ajali iliyotokea eneo la makongo ambapo gari ndogo imeangukiwa na gari la mchanga asubuhi hii. Juhudi za uokoaji za askari we jeshi la wananchi wakisaidiana na kikosi cha zimamoto na uokoaji walifanikiwa kumtoa dereva wa gari dogo mida ya saa 1:20 za asubuhi baada ya kukaa humo tangu saa 11 asubuhi. Gari aina ya Landrover maalumu kwa ajili ya kutoa misaada ya magari yaliyopata hitilafu barabarani likijaribu kutoa msaada.
 Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado yumo ndani.
  Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado yumo ndani.
 Askari wa jeshi la wananchi wakijitahidi kutoa msaada wa kumnasua dereva aliyefukiwa ndani ya gari.
  Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado yumo ndani.
     Gari la mchanga lililopata ajali likionekana kwa mbali
  Baadhi ya mashuhuda na askari wakishuhudia tukio hilo
 Gari la kikosi cha zima moto na uokoaji likiondoka na dereva wa gari dogo baada ya kufanikiwa kumuokoa
       Gari la kikosi cha zima moto na uokoaji likiondoka na dereva wa gari dogo baada ya kufanikiwa kumuokoa
     Gari la wagonjwa nalo lilikuja kwa ajili ya kutoa msaada
  Gari lililopinduka na kulalia gari dogo
        Gari lililopinduka na kulalia gari dogo
 Gari lililolaliwa likionekana sehemu iliyobaki
             Gari lililolaliwa likionekana sehemu iliyobaki

No comments:

Lazaro Masika. Powered by Blogger.