MITEGO YA WADADA WANAPOTOKA KUOGA KATIKA NYUMBA ZA KUPANGA NI HATARI!!
Maranyingi wanaume wamekuwa wakiwekwa kwenye wakati mgumu sana pale wanapowaona wanawake wakitoka kuoga kwani mara nyingi huwa wamevaa mavazi ambayo kiukweli humfanya mwanaume ashikwe na ashiki pale amwonapo mwanamke huyu.
Waweza kumkuta mwanamke kavaa kijipande tu cha taulo ambacho hufungwa juu ya maziwa na hivyo kufanya chini kuwa fupi matokeo yake mapaja yake,umbo la kalio lake na mistari yake ya utamu iliyopo nyuma ya magoti yake vyote viwe halali ya macho yako, na hapo ndipo mwanaume unakoma kukodoa hilo jicho lako.



No comments: