Header Ads


Breaking News
recent

HEMBU TAZAMA PICHA ZA HATUA YA AWALI YA WALE WASHINDI WALIOCHUKUA TUNZO ZA KTMA


1Kundi la kwanza la washindi wa tuzo KTMA alishinda Diamond na wimbo wa My Number One kwenye category ya wimbo bora wa Afro Pop ambapo tuzo ilipokelewa na producer wake Shedy Cleva.
2

Jinsi Ommy Dimpoz alivyotokelezea kwenye red carpet
3

Juu na chini ni show ya Mwana F.A alifanya  na wamasai
4

5

Washereheshaji wa tukio Mpoki na Shadee kutoka Clouds TV
6

Tuzo ya wimbo bora wenye vionjo vya asili vya Tanzania ilienda  kwa kundi la Dar Bongo massive na wimbo wa Bora Mchawi
7

Tuzo ya msanii bora chipukizi anayeibuka ilienda kwa  Young Killer
9

Tuzo ya wimbo bora wa zouk kwa 2014 imeenda kwa wimbo wa  Yahaya na Man Walter alipokea tuzo
 12Shaffih Dauda na mdau wakifuatilia tukio
11

Tuzo ya wimbo bora wa reggae imechukuliwa na Niwe na Wewe – Dabo
10

Tuzo ya wimbo wimbo bora wa Ragga/Dancehall imeenda kwa Chibwa Ft. Juru

No comments:

Lazaro Masika. Powered by Blogger.