VIDEO; LULU AKIIMBA WIMBO "BASI NENDA" KWA POZI LA KIMAHABA, CHEKI HAPA LULU Mtoto Mrembo Elizabeth Michael "Lulu" akiimba wimbo "Basi Nenda" kwa pozi kali la Kimahaba.Jamani huyu mtoto ni shidaaa sana.... kabarikiwa sauti na uzuri pia..
No comments: