Prof. Jay Amvisha Pete Mchumba Wake Grace


Prof Jay mwaka jana aliahidi na kusema kuwa haitapita muda mrefu sana watu wataanza kupewa kadi kwa ajili ya ndoa yake na sasa hizi ni dalili kuwa huenda ndoa hiyo ipo siku za karibuni.
“Asante sana Mungu, leo (Jana) tunaufunga mwaka namna hii na Mke wa Profjize”aliandika Prof Jay katika picha akiwa anamvisha pete ya uchumba Grace Mgonjo
No comments: