SIRI IMEFICHUKA....!! MESEJI ZA MAPENZI ZA ALIYEKUWA MPENZI WAZAMANI WA WEMA SEPETU (CLEMENT) NA KAJALA MASANJA ZAVUJA, TAZAMA HAPA MESEJI HIZO
Katika hali isiyokuwa ya kawaida meseji za Aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Wema Sepetu, Clement na aliyekuwa rafiki kipenzi Wa Wema, Kajala Masanja zimevuja jinsi walivyokuwa wanawasiliana, na aliyeziweka wazi meseji hizi ni Naima. Soma hapo chini na jinsi raia walivyofunguka huko Instagram
Reviewed by Unknown
on
Wednesday, May 07, 2014
Rating: 5
No comments: