Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wasababisha Vifo vya watu 15 katika mechi ya jana Kinsasha
15 waaga dunia Kinshasa DRC
WASHAMBULIAJI wa wawili wa Tanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu jana wameiongoza vyema klabu yao kushinda bao 1-0 dhidi ya AS Vita katika mchezo wa Ligi Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Kwa ushindi huo kwenye Uwanja wa Tata Raphael

Watu 15 wameaga dunia katika msongamano uwanjani Kinshasa Ghasia.
Ghasia zilizozuka baada ya mechi ya soka timu mbili maarufu za Klabu ya ASV na Tout Puissant Mazembe zilipokuwa zikichuana katika mechi ambayo ingeamua muakilishi wa DRC katika kombe la bara Afrika mwakani.
Refa alilazimika kusimamisha mechi hiyo.
Polisi walirusha gesi ya kutoa machozi ili kutawanya mashabiki waliokuwa wakipambana na kusababisha watu kuanza kukimbia na kukanyagana.
Gavana wa mji wa Kishasa amesema serikali itachunguza tukio hilo na waliohusika watachukuliwa hatua kali
No comments: