Home
Unlabelled
DUU..!! MAJINA HALISI YA WASANII 10 WA BONGO, LAZMA YAKUACHE MDOMO WAZI..SOMA HAPA KUYAJUA
Tumezoea kwa wasanii wengi wa Bongo fleva kwa kuwajua kwa majina yao ya kisanii, wasanii wengi wamekuwa wanatumia kifupi cha majina yao halisi, ila mengine wengi wanakuwa wanatumia majina tofauti kabisa, wengi huamini kuwa wangekuwa wanatumia majina yao halisia, wasingeweza kuwa na utofauti wa ki-status hapa town kama ilivyo hivi sasa, hivyo kutengeneza majina wanayotumia kwenye sanaa ya muziki, na kupelekea mashabiki wengi wa wasanii hawa kutojua kabisa majina yao haya,.hawa ni baadhi tu ya wasanii wa bongo
No comments: