Header Ads


Breaking News
recent

TAZAMA VIDEO MBILI ZA AJALI TOFAUTI TOFAUTI ZILIZOTOKEA NA KUREKODIWA NA CAMERA ZA BARABARANI:



Screen Shot 2014-04-18 at 2.19.32 AMNi kawaida kwa Madereva kukimbiza magari au kutokua makini wanapokuwepo barabarani hata kama walishawahi kushuhudia ajali mbaya za barabarani ambapo vyanzo vingi vimekua ni uzembe kama kuandika msg wakati wa kuendesha, kuongea na simu au ulevi.

Zifuatazo ni video za ajali ambazo ilitokea tu zikawa camera ziko on hivyo matukio yakanaswa kwenye nchi za wenzetu zilizoendelea ambazo kwao vilio vya barabara mbovu hakuna ila spidi ndio kasheshe.


No comments:

Lazaro Masika. Powered by Blogger.