TAMKO LA WAZALENDO WA VYUO VYA ELIMU YA JUU DAR ES SALAAM KULAANI VURUGU ZINAZOJITOKEZA KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Gulatone Masiga akifafanua jambo kwa waandishi wa Habari(hawapo pichani), kushoto ni Acbert Sweya kutoka Chuo Kikuu cha Kampala.wakati wa Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam.
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, April 22, 2014
Rating: 5
No comments: