Header Ads


Breaking News
recent

HIZI NI SALAMU ZAO...WAMETISHA: PICHAZ 10 KALI ZA JWTZ AMBAZO NI GUMZO KUBWA KWA NCHI JIRANI NA HATA MITAANI...!

Inawezekana raia wengi wa Tanzania tulikua hatujui nguvu ya jeshi letu la Wananchi,vifaa vyake pamoja na matumizi ya vifaa hivyo hasa inapotakiwa kuvitumia,April 26 Tanzania tulikua tukitimiza miaka 50 ya Muungano wetu kati ya Zanzibar na Tanganyika na kuzaliwa kwa Tanzania. 

Miongoni mwa vitu ambavyo vilivyovuta hisia za wengi ni namna vifaa vya Jeshi la Wananchi vilivyokuwa vikipita huku MC akitoa maelezo ya kila kimoja,hizi ni baadhi ya picha za vifaa hivyo vya JWTZ.









No comments:

Lazaro Masika. Powered by Blogger.