HAWA NDIYO WASANII MAARUFU NJE NA NDANI YA NIGERI WALIKWISHAFANYA COLLABO NA DIAMOND PLATNUMZ
Safari ya Diamond nchini Nigeria inaendelea kuzaa matunda kama alivyokusudia. Baada ya kushirikishwa na Waje, jana mkali huyo wa bongo flava aliingia booth na msanii mwingine mkubwa wa Nigeria, Dr Sid.
Jana usiku Dr SID amepost kwenye Instagram picha akiwa studio na Diamond na kuandika, “Studio Session with @diamondplatnumz #AfricanPrince #NaijaTanzania”![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXbkyf0btN_haUzQHWDtNAHrJIXcB2Ad2Hfn9RDk-V5RaTFLFSPL06zUHxe8dsK_sFjJjsZe4wFuyI-9e_MsB2DaEN2sTKpOVN5u6yNUIWGFQaNiRlp023fEepaCXhqZ3HUN8bEmruwQ/s1600/DR+Sid+na+diamond_full.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXbkyf0btN_haUzQHWDtNAHrJIXcB2Ad2Hfn9RDk-V5RaTFLFSPL06zUHxe8dsK_sFjJjsZe4wFuyI-9e_MsB2DaEN2sTKpOVN5u6yNUIWGFQaNiRlp023fEepaCXhqZ3HUN8bEmruwQ/s1600/DR+Sid+na+diamond_full.jpg)
Tazama moja ya nyimbo ambazo amekwisha kuzifanya!
Ukisikia unaambiwa mwaka huu ni wa Diamond usikatae 'Hapa nikiwa na maana ya kwamba bahati/kismatichake kinazidi kupanuka siku hadi siku' Na sasa muimbaji wa kike anayeaminika kuwa maarufu na mwenye kipaji zaidi nchini Nigeria, Waje amemzungumzia staa huyo wa Tanzania kuwa ni mtu mnyenyekevu mwenye nidhamu kubwa ya kaz
Met this amazing brother yesterday, humble nd such an inspiration,his work ethic is super. #africanlegendsmakingmusic @diamondplatnumz the talent eh. Thanks so much for this honour,” ameandika Waje kwenye Instagram.
Unaweza usiwe unamfahamu vizuri Aituaje Iruobe maarufu kama Waje lakini hakuna ubishi kuwa umewahi kusikia sauti yake. Waje ndiye msichana anayesikika kwenye hit single ya P-Square ya mwaka 2008, Do Me. Na sasa muimbaji huyo atasikika kwenye wimbo aliomshirikisha Diamond Platnumz.
DJ Fetty wa Clouds FM aliyeongozana na muimbaji huyo wa ‘My Number One’ aliandika. “In the booth right now. Its @diamondplatnumz featured in @officialwaje coming ish in Nigeria and Africa at large,” ameandika Fetty kwenye kipande cha video alichokiweka kwenye Instagram.

No comments: