DAVIDO NOMA SANA BASI UNAAMBIWA HII NDO GARI MPYAAAAA ALIYOINUNUA. ICHEKI HAPA

Show za kimataifa anazofanya Davido na utajiri wa familia yake unamweka kwenye nafasi nzri na kupata kila atakacho kwenye maisha. Ni Hit maker mkubwa Africa kwa sasa na Ukifuatilia radio na tv kwa siku hutokosa kukutana na nyimbo wa Skelewu ama Aye za Davido.
No comments: